Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2009

    Kweli kipanya, hujakosea ndivyo nchi yetu ilivyo, bajeti yetu ni sawa na hicho kigari ambacho hakiwezi kwenda mwendo wa mbali, na wabunge ndicho hicho wanakitengeneza ili kiende mbele.

    safi sana kipanya , we ni mzalendo wa kweli.

    mdau wa kinondoni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2009

    Kipanya,popote pale ulipo,nakupa Ofaa ya Soda moja,ntakuja lipa,usijali,nimechoka ile mbaya lakini soda moja hainishindi kulipa!This cartoon is worth two whole pages of a good article!Bajeti ya mwaka huu 2009/10,KOKORO mwanangu!Haitufikishi popote!wengine wameipachika jina la "Bajeti ya Kujihami",wengine "Bajeti ya Misukosuko ya Kiuchumi!",wengine,"Bajeti ya KILIMO KWANZA!".Ukiipitia Bajeti hiyo kwa karibu sana hakuna jipya,mauzauza yaleyale!Ni Bajeti tegemezi kithiri!Mfumo wa Kodi nchini bado mzunguwa reli!Unashangaa,kizazi hichi cha sasa cha uongozi unawezaje kuja na Bajeti Mbovu kiasii hicho?Is this Budget really creating conditions for our economic take-off?absolutely not!Unless you are twisted upstairs!When is the current "modus operandi gonna change?"Blah blah mingiiii!No effective action plan of our own creation!Bado tumeng'ang'ana tu Benki ya Dunia na IMF!eti umaskini nchini umepungua,are you really serios?Mmefika vijijini mkaona watu wanavyoishi maisha ya Tumbili?How long are going to keep on tolerating "these Dummies?".Bajeti spana mkononi,tutafika kweli?KILA KUKICHA VIONGOZI NI KUSAFIRI TU!saaa ngapi utapata muda wa kutafakari?very annoyed citizen!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    mweneyzi aturehemu atusaidie na atukumbuke katika kipindi iki cha utawala wa nchi hii,na hali yoyote duniani-globalization

    its my payer

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...