Bro michuzi ,
Thanx so much!! kwa kazi nzuri , maana bila wewe siju tunge pata wapi news! anyways sisi ni wadau wa hapa Atlanta ( kwa Obama) tumefungua kikampuni chetu cha kutengeneza filamu 
(www.jake-productions.com
 hivi sasa tuko ukingoni kumalizia filamu yetu ya kwanza ambayo imeigizwa na Lambert "Lbt" Tibaigana na Tuni Ngigi(kutoka kwa watani wa jadi kwa mzee Kibaki) basi kwa hayo machache pokea picha katika moya ya scene ya movie..

wako Wadau
www.jake-productions.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2009

    Great start!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2009

    Wadau wanajitahidi! nimewaaminia, ila website iko slow kidogo! Kazi nzuri!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2009

    Nimeishiwa maneno na mdomo Umejaa mate, nashindwa hata kupigwa na butwaa. HONGERENI kwa kazi nzuri.
    Kwa mara kwanza Nimeona KAZI ILIYOKAMILIKA NA KUWA NA MVUTO WA HALI YA JUU kutoka kwa waswahili wenzangu...
    Nakutakieni kila la kheri.. Natumai tutazidi kuwasiliana, ntawatumia email kupitia site yenu. Mimi Ni mmoja ya wanafani hii kutoka UK. Mungu akipenda tutafanya kazi pamoja.
    Hongereni tena na tena.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2009

    YAANI KAZI IPO HAYA NI MAKUBWA CHA KUSEMA KIMYA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2009

    Hii kitu poa washikaji. Haya ndio mambo tunayoyataka sio kila siku pombeee tuuu! Keep up ATL's!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2009

    Katika filamu yote hii ndiyo picha nzuri kupita zote

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 17, 2009

    Sawa,ndio iliyobaki, natumai mtatumia fursa hiyo kukitangaza Kiswahili!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 17, 2009

    good idea lakini kitu gani kitafanya movie yenu kuvutia ? kuna movie nyingi sana, lazima mtafute kitu kitakachowatofautisha na movie nyingine za ki gangsta push yourself to be different

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 17, 2009

    of all the people...?

    jiranizzz wetu

    ok vijana keep the gd work

    ReplyDelete
  10. No dream is beyond reach in the United States of America.
    Go For It!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 17, 2009

    Kajikampuni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2009

    Tiba "LBT" album inatoka lini mwana? nimekuaminia nyimbo zako mistari imesimama halafu production iko juu! hebu fanya mambo, na usiache kukandamiza kiswahili wengi wanapotea kama majirani wanajaza ngeli tu kiswahili no!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 17, 2009

    Tibaigana huyu huyu wa TAMBAZA enzi za mzee mzima Oluoch?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 17, 2009

    Wow u guyz rock jamani,mko juu vibaya na mnawakilisha,mi nawatakia kila la heri,lbt hiyoo yani mia kwa mia kaka.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2009

    LBT ndiye yeye frm Tambaza to Texas.Good job, mwanangu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2009

    Mwanangu LBT na mwanangu JM, nawatakia mafanikio mema na mungu atawajalia nyinyi pamoja na wenzenu wote mnaofanya kazi pamoja katika JAKE PRODUCTION. Nimependa quality ya movie ni ya juu na sauti imechujwa ikachujika.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 18, 2009

    Tanzania-hollywood

    kazi ni kazi

    asante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...