Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YESU ASIFIWE KIPANYA....
ReplyDeletekwanza ilo bajeti lenyewe la MKULO halikutulia hata kidogo,na watu wengi tu this time wameipinga saaaana
ReplyDeletesema tu U-CCM ulitawala bungeni,wanakera wale jamaa?utafikili wanajiwakilisha wao na familia zao tu ?%^&&#**:"" zao sana
I KNEW TU WANGERUDISHA mbele ya wakuu wa dini wanaowasamehe dhambi zao???pangechimbika
haleluya
hahahaaaaaaa teh teh
acheni ushamaba wa mambo sisi wanadamu ni watu hatari kuliko hata swine flu iweje mali za umma,mfanyie mambo yenu wenyewe na utajiri mpate kupitia msamaha huo huo wakati hamtoi fedha mifukoni mwenu bali ni sisi waumini.ndio tafsri ya hiyo katuni,je kama wewe ungekuwa rais au mkulo ungefanya nini hali yenyewe ndio hivyo tena watu wanapanga jinsi ya kuiba badala ya kujenga taifa lao kupitia misamaha ya kodi.
ReplyDelete