salum bamba akipapasa kinanda kwenye ukumbi maarufu wa 'kwa raju' usiku kuamkia leo zenji. hii ni moja ya sehemu maarufu ya libeneke uwapo visiwani kwani unapata old skul za taarabu za kila aina na ukumbi hufurika kama inavyoonekana chini.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    he umenikumbusha sehemu niliyoona mwanamme kavaa sidiria mashoga ndio kwao hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...