mdau akiwajibika usiku wa kuamkia leo polisi mesi, zenji, wakati kundi maarufu ya ngoma ya kidumbak ilipotumbuiza
wapiga chapuo wa ngoma ya kidumbak wakiwa kazini
ngoma ya kidumbak haitimii bila violin, manyanga na nyimbo
wake kwa waume huoneshana umahiri juu ya meza
meza hutumika kwa kuchezea na chapuo pia





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    Ngoma za namna hii huwa mpigaji mahiri wa ngoma akikataa kupiga ngoma hupewa mwananamke kama huyo anayecheza mezani ili akapige bao kadhaa chapchap na baadaye hurudi kuja kuendeleza libeneke la ngoma.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    hii hatari huyo mwanaume na mwanamke ndio wakina nani ndio wachezaji shoo wao ama midadi imewapanda?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2009

    Na baiskeli nazo zilikuwepo uwiii.Hiki kilabu balaa,Wacheza shoo mhhh!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. ebana wanacheza kwa uzuri kinoma.Inaelekea hapakutosha watu walinogewa mpaka kisogoni.
    Anyway-Mbona sioni watu mkikemea Kufanya haya mambo.Au mpaka mwezi wa RAMADHANI ndo mtakuja na kelele zenu za shi'ngi 10.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2009

    we mbigiri hata wewe una wajibu kukemea mabaya katika jamii.sasa unapoutaja mwezi wa ramadhani na ujumbe wako unaashiria nini? ninakuelewa kuliko unavyofikiria tumia uhuru wako vizuri,au unawachokoza nyuki?$!***|??&&&#**!!!???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2009

    cheki moiga manyanga apo jicho liko nyuma uku

    mpiga ngoma sasa nae

    michuzi umeipataje izi pichazzz,ulikuwepo ktk "bar"iyo nini??

    hahahahaaaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 17, 2009

    Bro michuzi nakupongeza kwa ufukunyuku wa ngoma hasa za wazanzibar nishaona hapa ulishawahi kuleta ngoma ya ndege, bomu, msewe, kibati sunsumnia, hivi ushawahi kuona BOSO hebu tafuta mpemba asilia akupeleke wanakocheza boso na kugawana chambi kwa vurugu na pozi wallah utapenda na nyimbo zao za mikasa aloo ila utafute wale wachezaji mahiri sio wabangaizaji na wanocheza kihuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...