Gazeti lako la KWANZA JAMII liko tayari (Pichani) likiwa na habari na makala za kuelimisha, kufikirisha na kuburudisha.

Litaanza kusambazwa mitaani na mtandaoni Jumanne ya wiki hii, Juni 9, 2009. Fuatilia mijadala endelevu ya ndani ya KWANZA JAMII kwenye;

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2009

    hongereni vijana safari ni hatua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...