Home
Unlabelled
asante wadau wa washington
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jump naona uko kila sehemu ndugu yangu..yaani wewe ni true bongo celebrity. Hashim akiingia NBA tena mzee...da tutaenea tena ndugu yangu? Much Love Jump...love you like a brother.....NM
ReplyDeleteMichuzi, pingili za shingoni hizo, mambo yako naona mswano! Lishe ya kutosha, bia za kumwaga, kiti mo..... nono no no. Hiyo siyo yenye.
ReplyDeleteMmetoka mchicha!
Endeleza libeneke mheshimiwa!
Mhh!! kaka michu bwana na mambo ya mikonoz!!! haya bwana langu jicho tu mie
ReplyDeletena wewe unapenda konozzzzzzzzzzzzzi
ReplyDeletehuonagi kwingine?
mdau wa mbagalazzzzzzzz a.k.a makombora wenyewe tumeyazoea
HAPO HATA MIMI NINGEKULA KONOS. AAH ACHA TULE KWA MACHOS
ReplyDeletewewe uliyevaa miwani ulishawahi kusoma azania na kuishi mtwara?
ReplyDeletemdau.
n.b jina lako unitwa nani?
konoz imetulia
ReplyDeletenini maana ya nimewaumbuka?????
ReplyDeleteJP siyo wa Washington DC lakini..
ReplyDeletejamaniii
ReplyDeletemkuu wa nanihii,,ivi siwezi kuwa mkeo basi ata wa pili?
nna ugonjwa na wanaume wa style iyo ya apo pichani!!
plizzz say u lavu me!!
haki ya nani michu?
Hi jump hivi huyo wa karibu yako ni sizya eh!du nimekumbuka forest hill miaka ile.kila la kheri kaka.
ReplyDeleteKaka Michu ulikuwa umefanya roaming au ulikuwa unatumia simu ya JP Jump aroung, jump jump?
ReplyDelete