Tunapenda kuwajulisha wadau wa Marekani kuwa gazeti la Jambo America ambalo kwa mara ya kwanza linatolewa hapa Marekani kwa lugha ya Kiswahili na pia Kiingereza hivi sasa liko mitaani.
Gazeti hili litolewalo kila mwezi litalakuletea habari moto moto za matukio ya Afrika na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu masual mbali mbali ya maisha,jamii,Burudani na michezo.
Uongozi wa gazeti hili unapenda kuwaarifu wale wadau waishio Marekani kuwa wanaweza kupata nakala kwa wawakilishi wetu katika miji ya New York,Washington Dc,Baltimore Md,Boston Ma,Tulsa Ok,Los Angeles Ca,Chicago Il,Minneapolisi Mi,Cincinatti & Columbus Oh na Richmond Va.

kwa wale ambao wako mbali na mawakala wetu wanaweza kusoma gazeti lote katika
bonyeza alama ya gazeti na chagua Jambo America/swahili au English
( kwa mwezi huu tu)
* Gazeti la Jambo America hutolewa bure kila mwezi.
Pia Raia media inataraji kuanza urushaji wa matangazo kwa njia ya Radio na Television hivi karibuni.
Waweza kuwasiliana nasi kwa simu
240 573 0135
au tuandikie
Raia Media Group
P.O.Box 77374
Washingtton,
DC 20003
Kwa waishio Marekani wanaweza kupiga simu toll free
1888 360 RAIA (7242).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Another unfinished site...jamani tuweni siriazi, tusipost vitu ambavyo havijakwisha...hata website developer wetu website yake inatisha...mhmh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...