

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwenyezimungu amuweke mahali pema peponi mwenzetu yupo kwenye haki.
ReplyDeletembona sijawaelewa hapo limesahaulika vipi? Nyie kwani mnafikiri Makaburi ni nyumba? sioni kilichosahaulika kazikwa inavyotakiwa ni kwenda tu kumsomea kwani mnataka kaburi liwe vipi? Gorofa? tumuache mwenzetu apumzike. MZ. Au ndugu yangu unamaanisha Tarehe kama Tarehe ni sawa labda kama unaishi Marekani utasema hapo Mwezi wa 11 tarehe 2. Ila sijaona kilicho sahaulika Tunakuomba tufafanulie vizuri nini kimesahaulika?.
Saidi Mwamba Kizota alikuwa kama role model kwa Watanzania wengi walikuwa wanafuatilia mchezo wa mpira wa miguu Tanzania. Vile vile wapo wachezaji wengi sana waliopita kama Rosta Nduguru, Mohamedi Kajole, Omar Mahadhi, Steven Chibichi, Saleh Sonda, Method Mogella "Fundi", Justin Mtekere, Hamis Gaga, Ramadhani Lenny, Issa Athumani, Athumani Mambosasa, Rafael Paul, Innocent Haule, na wengine hata majina yao siwezi kuyakumbuka. Hawa wachezaji walikuwa role model kwa vijana wengi Tanzania na walichenza mpira wa miguu kwa tabia nzuri bali hali ya maradhi iliwakuta na sasa mungu walaze mahali pema peponi.
ReplyDeleteKujengea makaburi ni kinyume na Sunnah za Mtume Muhammad s.a.w
ReplyDeleteSomeni dini muelimike msikurupuke kufanya mambo ndivyo sivyo..
Kama ilivyo kwa taaluma nyingine, huwezi kukurupuka ukajijengea nyumba yako mwenyewe, au kumchoma mkeo sindano akiumwa au kurusha ndege pasi na utaalamu basi heshimuni na elimu hii takatifu kabisa kutoka kwa Allah.
"Fasalu ahla aldhikri inkuntum laa taalamun (Na muwaulize wanaofahamu iwapo hamfahamu)", "Hal yastawi aladhiina yaalamuun wa aladhina laa yaalamun (Hivi wako sawa wanaofahamu na wasiofahamu?)" Nukuu kutoka katika Qura'n.
Swadakah Anonymous.
ReplyDeleteKaka ISSA Michuzi naona Injili imejaa zaidi kuliko Quran.
Inalillah wainaillah rajiun!
ReplyDeletekwa kweli hapo kisutu wanakataza kujengea makaburi lakini watu wakubwa na maarufu na hao hao wanaokataza wanayajengea ya ndugu zao!
ReplyDeletebinafsi tulikatazwa kujengea kaburi la mzazi wangu, lakini cha kushangaza nilikuwa huko dar mwaka jana nikaenda hapo kisutu na kukuta makaburi ya watu nnaowafahamu wamefariki baada ya mzazi wangu na makaburi yao yamejengewa vibanda kabisa nafkiri mwenyewe umeshuhudia! kaburi la mzee wangu kibao bado kidogo kianguke na kingeanguka ndo basi tena limepotea bahati mbaya watoto wote tuko nje ya nchi hakuna wakulizuru kila siku kuhakikisha alama haipotei, nani atakae penda apoteze mahala alipozikwa mzee wake?
kwa hiyo vibaya ni kujengea kwa kupitiliza lakini alama kama kuzungushia matofali na kulitunza kwa kufanyiwa usafi ni muhimu.
na mwisho maustadhi hapo juu:-
kutokujengea makaburi ni sunnah na si fardhi, kwa hiyo si lazim kufata sunnah na ndiyo maana ikatofautishwa na fardhi ambayo ni LAZIM! TAFADHALI msitake kuyakuza hapa! Nyinyi ndo mnaifanya dini ionekane ngumu kwa kuyakuza mambo kwa kuzifanya sunnah kuwa fardhi!
Mdau hapo juu, kwa taarifa yako Innocent Haule ni mzima wa afya. Rekebisha kumbukumbu zako!!
ReplyDeletejamani marehemu said nassor si yule alichezea cosmopolitan ya dar miaka ya sabini au ni nassor mwingine
ReplyDeleteduh! kaka michuzi,tupo pamoja lakini kwenye hili la mambo ya makaburi naona huna uraia wa uislam,inabidi tusikilize hata suratul kadhaa toka kwako,maana mmh! tafuta muda usome hadithi wakati mwingine,ni kwa imani tu.ila poa sana maana wengine pia walikuwa hawajui.inshaallah wataelewa sasa.pia waeleze wadau kuwa kulijengea kaburi na kuliwekea nakshi zoote sio kuwa ndio kuonyesha mapenzi yetu kwake.swala ni kumuombea kwa mwenyezi mungu yeye na wengine waliotangulia mbele ya haki.
ReplyDeleteakihito
ndugu yangu hapo juu, angalia kauli zako. inaposemwa sunna si lazima haimaanishi tunaweza kuidharau. inapotokea unadharura na ukashindwa kuitekeleza sunnah hapo swadakta, lakini unapaswa kuitekeleza sunnah popote inapobidi, kwa maana waislamu tumeimizwa kuishi kwa kufuata Qur'an na mafundisho ya Mtume Muhammad (S.A.W). na dini haiwezi kua ngumu kama utajikumbusha wajibu wako wa kuumbwa i.e. kuabudu.
ReplyDeleteMimi sijui Koran(sababu ni Mkristo) inasema nini hata kusoma kiarab sijui.Napenda kuuliza hawa wanaonukuu koran na mafundisho ya Mtume Mohammed S.A.W,je huko Arabuni(Saudi Arabia,Oman nk) watu wa huko hawajengei makaburi ya wapendwa wao au ni wa-Afrika tu wanaotakiwa kufuata mafundisho kama yanavyosema?
ReplyDeleteNajua hapa USA (toka sehemu mbalimbali duniani)waislam wanajengea makaburi ya wapendwa wao.
NI swali tu.Sina nia ya kuchafua Hali ya hewa.
WENGINE WALIOTUTANGULIA MBELE ZA HAKI NI HAWA WAFUATAO:- EDWARD CHUMILA (EDO BOY),SAID MWAIBAMBE ZIMBWE, MUHEHE KIHWELO, RIFAT SAID, JOSEPH KATUBA, SAHAU SAID KAMBI, JAMES TUNGARAZA etc. MOLA AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI.. AMEIN
ReplyDeletePia Steven chibichi bado yupo hai
ReplyDeleteVingine tuwaachie ndugu wa marehemu. Ni mapenzi yao kuweka au kutoweka. Sio kila kitu kifanyike tupendavyo sisi.
ReplyDelete