Home
Unlabelled
Libeneke La KWANZA JAMII juma hili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka michuzi yaani siku hizi nashindwa hata kujua nani mkweli nani muongo hata hawa viongozi wa waumini sio waungwana kabisa kwa sababu ya tamaa zao za kijinga na ubinafsi zamani enzi za mwalimu ilikuwa ni wito na moyo wa imani siku hizi sio bali ni tamaa mbele zaidi kama viongozi wa dini wanakuja na sera za msamaa wa kodi wakati huo wanafanya biashara zao za nguvu tufanyeje sisi wafuasi,kwa nini hakwepe kodi na auze vitu kama bei za wengine.Mwenyezimungu tunamchezea shele na hali ni watu wote ni wa kufa na kuulizwa maswali maswali kila mmoja wetu alivyochunga uku duniani hacheni tamaa za kupata mali kwa mkato lipeni kodi ya nchi mpate maendeleo, wakati huohuo haohao mnalalamika eti hatuna maji, umeme,barabara kwa kifupi miondo mbinu hakuna nchi hata moja ambayo igain uchumi bila kodi uungu -utu ni hayo tu kaka.
ReplyDeletemwandishi wa habari ya kocha brazil awahofia mafarao, anajua mpira kweli, na anafuatilia mtanange wa kinyanganyiro hicho. namshauri akaangalie upya qualifying michezo,kwani mafarao wananafasi ndogo sana ya kwenda SA, sasa woga huo unatoka wapi.nini chanzo cha habari hiyo.
ReplyDelete