Mkoba ambao Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta aliingia nao bungeni jana kuwasilisha hotuba ya bajeti yao.
Waziri wa Fedha na Uchumi wa Tanzania Mh. Mustafa Mkulo akiingia bungeni jana





Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Uganda Mh. Syda Bbumba akiingia bungeni jana jijini Kampala kusoma mapendekezo ya bajeti











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2009

    hiki kibegi cha watani wetu wa jadi kimechoka

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    MTOA MAONI WA HAPO JUU..KWA TAARIFA YAKO HAKIJACHOKA SISI NDIO TUMECHOKA KWA KUWA OMBA OMBA.WATANI ZETU HAO WANA BUDGET YA DOLLAR BILLION 11.1 WAKATI YETU NI DOLA BILLION 7.5 NA KATI YA HIZO ZAIDI YA ASILIMIA 33.8 YA BUDGET YETU TUMEOMBA NA KUKOPA NJE WAKATI WENZETU WANATUMIA PESA ZAO WENYEWE,KWA HIYO KUTUMIA BEGI LA MWAKA JANA SI HOJA ILA HOJA NI BAJETI INASEMAJE NA UIMARA WA SHILINGI,HAKUNA JINGINE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2009

    Umaridadi wa Bag ndo uzuri wa budget?

    Mi naona kwa ujumla suala zima la Uchumi wa nchi yetu limekaa TENGE, kila mwaka hakuna kinachoeleweka na sasa hali ya uchumi wa dunia ndo itakuwa vululuvululu. Mie kunchanganya tu.

    Ila mwayego kusema za ukweli kabegi ketu kachovu!!!!???? Labda kanasababisha na budget kuwa chovu

    GJK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...