Je, una habari kwamba hapa bongo kuna mtasha anaeitwa Mzungu Kichaa anayetamba sana katika anga za muziki wa kizazi kipya huko ughaibuni? Basi kama ulikuwa hujui habari ndiyo hiyo. ukitaka kumuona na kumsikia akiendeleza libeneke na kula sahani moja na profesa J na Mwasiti katikati ya Kariakoo, jijini Dar  

MZUNGU KICHAA LAUNCHES NEW MUSIC VIDEO ”JITOLEE” RECORDED IN DAR ES SALAAM, FEATURING PROFESSOR JAY & MWASITI

Mzungu Kichaa released his album ”Tuko Pamoja” at Dar Live club under his East African tour in February 2009, receiving a lot of positive feedback from the media and the public.

Now he is in Denmark where he just held the European release of the same album combined with a concert at a fully packed Voxhall, a concert hall known and awarded for having ”the best sound in northern Europe”.

Mzungu Kichaa who frequently visits East Africa where he was raised, decided to record his first official music video in Dar es Salaam because this is where his music comes from. Most of the video was shot on location in Kariakoo market.

Mzungu Kichaa who is on a mission to open the European market to East African music, made the decision to make his new video available for everybody to enjoy by uploading it on youtube, 
where it can be found by following this link:
 http://www.youtube.com/watch?v=5QnrVJkBKkM 

About Mzungu Kichaa:

Mzungu Kichaa is a pioneer of one of the biggest contemporary genres in africa. With a foot in both Africa and the west Kichaa is able to transcend barriers and build a bridge between cultures. Kichaa reinforces the concept of music as a universal language.

Espen Sorensen aka Mzungu Kichaa holds a BA in ethnomusicology and a Masters in African Studies. In 2006 he founded the group EFFIGONG. In 2008 he decided to go solo and release an album in Swahili for his fans in East Africa and the diaspora. 

This has resulted in 10 original and inspiring songs that speak out about political injustice, poverty, inequality and ways in which we can unite for a better world. Tuko Pamoja!!
www.myspace.com/mzungukichaa
For further information about the album and video release, 
Mzungu Kichaa will be happy to give interviews to the press.
He can be contacted through his manager:
Louise Kamin Press & Tour Manager 
Tel: +45 5040 4151 
E-mail: kichaamusic@gmail.com 
www.myspace.com/mzungukichaa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2009

    All my dear brothers and sister...its Friday today..waislam popote pale mlipo...twende tumsujudie alyetuumba..na wale ambao hamjabahatika kuwa waislam mtafuteni Allah na muujuwe ukweli..!ni msg ya kukumbushana..! Allah bless u all!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2009

    sasa wewe mtoa maoni wa kwanza unaposema ''kwa wale ambao hamjabahatika kuwa waislamu'' una maana gani??? una akili timamu kweli wewe??? nadhani una matatizo ya mtindio wa ubongo wewe si kawaida!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2009

    sasa kwani wewe unayemuuliza mwenzio kama ana akili timamu wewe kinachokuuma nini? inaonyesha wewe ndio akili zako zipo nyayoni ...hovyoooo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2009

    ha'fu na we annoni wa 12:28 na wewe pia sidhani kama una akili timamu!!! angalia wanao wasijekuwa wamejawa pumba tu kichwani kama wewe. Huo upuuzi mnaondika hapa wewe pamoja na huyo wa kwanza ni udini!!!! udini wenu hukohuko!!! mtasemaje mtu ambaye si mwislamu ni mtu bahati mbaya hajabatika??? ha'fu mtu mzima kabisa uliyejaaliwa kichwa unakaa chini kuandika na kutetea upumbavu huu. usiwe na bahati kuwa katika dini ya majini!!!! jini liitwe maimuna watoto wenu pia muwaite maimuna nk!!! mtaelimika lini nyie??? hovyooooooooooX99
    kwanza jinsi msivyo na akili your coments are irrelevant. mngeanzisha mada tukaelewa si kuweka uchafu kwenye mada tofauti. mada inazungumzia kitu kingine nyie mnaibuka na upumbavu wenu wa kijinijini

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2009

    kwenda kuabudu mpaka mhamasishane kwenye blog ya michuzi,jamaa zako akina shaban,mohamed,rashid,ashura,asha,said,ali etc tuko nao tunakula kiti moto kwa kwenda mbele, wewe kaa na u-fundamentalistic wako na ikibidi jifunge mabomu kabisa kiunoni ujitoe mhanga.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2009

    Wabongo hawawezi kumsifia mtu hata siku moja. Baada ya kuona huu mziki ni moto wa kuotea mbali wameamua kwenda nje ya mada. Upuuzi mtu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2009

    Shule inasaidia sana nimesikiliza miziki yake kwenye myspace yake ni nzuri sana. Mwanakijiji upo? nenda shule.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2009

    ukibishana na mjinga halafu mtu akaja akakukuta unabishana na mjinga basi mtu huyo kamwe hataweza kuelewa ni nani mjinga kati yako na mjinga!!! huyo mtoa maoni wa kwanza kabisa aliyeibuka na mambo ya kiislamu ni mtu mjinga sana kupindukia chini ya jua hili, kwa hiyo msipoteze muda nae msije na nyie mkaonekana wajinga kama yeye!!!
    ndoa yao wenyewe inawashinda hadi wamefikia hatua ya kufakamia kitimoto ambacho awali walikiita haramu!!! sa'vi cjui wanatalka kutuimbia nyimbo gani!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2009

    Mimi namlaumu Michuzi kwa kuruhusu comments ambazo ni Irrelavant! Cha muhimu cha kujadili ni huu muziki, the music is very nice and congrats to all who made it!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 13, 2009

    nyie mnao watukana waislam ndio hamna akili mnaona kula nguruwe ndio dhambi aliweambia uislam unakata kula nguruwe peke yake nyinyi watu ningewaona wamaana kama mngemshangaa muislam anayeiba au anayefanya kitu kingine chochote kilichokatazwa, nataka kuwauliza mnajua waislam hatujakatazwa kula nguruwe tu tumekatazwa kula mbwa na paka wewe unayetuka uislam kitabu chako kinakwambia nini kuhusu mbwa na paka au kwasababu mzungu hali basi na wewe huli upumbavu mtupu mkae mjifunze dini zenu sio mkae kutukana wenzenu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 16, 2009

    Wachangiaji wengine mnachemka bila sababu. Mtu kaamua kwakumbusha waumini wenzie nyie kinawauma nini. Mi siwalaumu kwani tatizo lenu liko wazi ndo maana mnajishtukia hamjui Mungu ni nani na yesu ni nani mmebaki kutapatapa mara yesu ni mungu mara mungu ni yesu hakieleweki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...