Elias Barnabas
Heshima na Uvumilivu Umenifanya Nifike Mbali - Elias Barnabas

Je unamjua vizuri Elias Barnabas nyota inayong'aa kwenye muziki wa kizazi kipya 'Bongo Flava' hivi sasa ambaye alitamba sana na wimbo wake 'Njia Panda'?

Je unajua kwamba kutokana na kupenda kwake sana muziki aliacha shule kidato cha pili?

Elias Barnaba aka Barnabas aliyetamba sana na nyimbo yake 'Njia Panda' anasema kwamba heshima na uvulimu alionao ndio chanzo cha mafanikio yake makubwa kiasi cha kualikwa na mwanamuziki maarufu wa Kongo Fally Ipupa kurekodi naye nyimbo pamoja.
Kufahamu zaidi link ni hii:
http://www.nifahamishe.com/
NewsDetails.aspx?NewsID=2179606&&Cat=8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2009

    mwisho wa yote nyie "kizazi kipya"
    mnafikia wapi???

    mana wachezaji wa soccer wa zamani ata sijui wanafanyani ktk life lao now

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...