

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani jaman
ReplyDeletewakina baba hawasapoti au walikuwa wakicheza na wana?
ReplyDeleteSakatani? Sarakani, I believe...
ReplyDeleteWEWE UNAYEJIITA "AL MUSOMA" MBONA UNATUNGA VYA KWAKO. WAO WANASEMA SARATANI, WEWE UNAKUJA NA "SAKATANI", MARA "SARAKANI"!!!!! TUMEZIDI MNO KUKOSOA WENGINE SIE WABONGO JAMANI, KHA!
ReplyDeleteHey Anon 8:36 AM hata mimi nadhani inaitwa SARAKANI;Labda mimi na Al musoma tunakosea.Natambua kuwa hakuna mtu aliye mkamilifu.Naomba wengine wanaojua kiswahili fasaha watueleze.
ReplyDeleteasanteni
ReplyDeleteuyo mama mwenye miwani apo nyuma ni mbongo kweli i think she is from sudan
ReplyDeletekwi kwi kwi kuna watu mnadharau sana umu bloguni,,nani kakwambia ni msudani???dah mbavu zangu
ReplyDeletendo mana yake annon,kina baba mamtoni mawili,either wako home wananbeba watoto au wanapiga box mtaani
ni ayo tu
DC NAKO KUMEZIDI WABONGO DUUU!!,KAMA MAGOMENI??LAZIMA KUTAKUWA NA MAMBO YA MIPASHO TU MANAKE WABONGO NAWAJUA WAKIKAA WENGI MITAA FLANI,NI HAYO TU!!
ReplyDeleteNi kweli DC wabongo tuko wengi...lakini hamna mambo ya kiswahili swahili...kila mtu na mambo yake.
ReplyDeleteNani mwenye time!!!
NI KWELI WABONGO TUKO WENGI DC... LAKINI WALAAAAA.... HAMNA MAMBO YA KISWAHILI SWAHILI... KILA MTU NA MAMBO YAKE... NANI MWENYE TIME!
ReplyDelete