MC Angela Bondo alonga la globu ya jamii
Home
Unlabelled
MC angela bondo alonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
MC Angela Bondo alonga la globu ya jamii
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angie was my wedding MC waaay back !! she is good !
ReplyDeleteMichuzi, muulize kama ana website basi tuone tutamtumia vipi.
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteHivi huyu Angela hajui kama hii web inasomwa na watu wanao ongea na wasio ongea english? Sasa ya nini una mhoji kiswahili halafu anajibu english? Anachekesha bwana..ubishoo gani huo?
Kweli duniani wawili wawili, yaani Angela anamfanana sana ex-girlfiriend wangu fulani hivi, kama ex-girlfriend wangu anaangalia blogu ya Michuzi basi atakuwa amejijua. Hongera Angela
ReplyDeletembona huyo dada anaongea kama wale vijana wa bongo flavour??????au ndyo fashion siku hizi kuongea hivyo..??maana cku hizi bongo kila mtu anajifanya yupo focus...!!
ReplyDeleteHongera sana dada Angella Gloria Bondo. Kazi yako nzuri sana tena sana. Nimeona kazi zako mwaka jana na kwa kweli na kufagilia. Ningekuwa naolewa leo ningekuomba uwe MC wangu. Hongera dada. Duniani bidii usipokuwa na bidii unabaki kulalamikia watu. BRAVO ANGELA KEEP IT UP!!!!!!!!!!!!. Kaka Michuzi asante nimeburudika na ka back ground song
ReplyDeletewabongo bwana ovyooo, huyo dada anaongea professional kabisa , yupo clear, ametulia, na anaonekana mfanyaji kazi wa bidii. Hongera sana dada kwa kazi yako,inabidi kuwasifia wadada kama hawa sio kuwakosoa ovyo ovyo eti anaongea kama watu wabongo flava,wabongo hamna jema loooh.
ReplyDelete"wabongo bwana ovyooo, huyo dada anaongea professional kabisa , yupo clear, ametulia, na anaonekana mfanyaji kazi wa bidii"......ina maana huyu dada kwa sababu anaongea kiingereza ndiyo anaongea professional kabisa......wewe mdau wa(June 21, 2009 12:45 PM) u r full of ***** coz somebody speak english ina maanisha she/he knows what is sayin'....tht y foreigners wakija Bongo mnawahamini kwa sababu wanajua kiingereza.....jamaa kibao wanatoka nchi za jirani nakuchua kazi za maana hapo nyumbani ambazo wazawa wangeweza kupewa first perioty....thn mna wapa jamaa kwa sababu wanajua kiingereza cha kubabaisha......ngoja nimalize Degree yangu nitakuja kuwanyoosha watu kama wewe mdau hapo juu.....***********taipu!!
ReplyDeleteKama Angela angekuwa professional kama anavyojieleza basi angetumia busara ya kuwa clear katika mahojiano yake na michuzi na sio kuleta mbwembwe za....surviving...no complains....Pili kama anataka kutangaza biashara zake internationally basi angefanya mahojiano katika lugha mbali mbali ambako kiswahili kisingekusika kuliko kufanya mkorogo wa kiswahili na english.Sikiliza kwa makini anapoongelea kazi zake kama watoto...anasema "I loved them...I honoured it...."hii inakaaje?Angela hebu weka akili yako sawa ili ujiwekee professional image....Kama ndicho unachotafuta
ReplyDeleteAngela dada upo juu, ila tu kubali na chuja shauri mbalimbali unazopiwa na watu, mie ningependa katika mahojiano yako yajayo kama una amua kutumia lugha ya kiswahili basi iwe hiyo tu au kama ni kiingereza iwe ni hicho tu - usichanganye lugha hiyo ni dhana ya udhaifu wakati wewe ni mtu wa maana sana na upo juu na utazidi kuwa juu, nakutakia kheri wangu.
ReplyDeletekaka Michuzi,mi nakubaliana mia kwa mia na mdau wa 22-6.Anamstua Angela kutumia lugha inayohusika katika mahojiano husika.Yaani kama kiswahili ni kiswahili na kama english basi english na sio kuvuruga mara "surviving'...mara "nimeamua kufanya kazi".Akiweza kurekebisha hicho kilema basi anaweza kuelekea professionalism.
ReplyDeleteDADA ANGELA NI VEMA KAMA UNAOJIWA KWA LUGHA YA KISWAHILI JIBU KWA KISWAHILI NA KAMA NI MAOJIANO NI LUGHA YA KIGENI NI VEMA UFUATE SIO KUCHANGANYA MAMBO.LUGHA WATU WANAZIJUA. BOSS WA BAD BOYZ
ReplyDelete