
Eneo la tukio la mnuso kesho huko stockholm
Wadau wa Sweden na vitongoji vyake mnakumbushwa kwamba umoja wetu wa Tanzania ukishirikiana na Ubalozi wetu hapa Scandinavia unapenda kuwakaribisha kwenye tafrija ya pamoja kwa kuwakutanisha ndugu na marafiki wa watanzania kwenye ukumbi wa TANZANIA HOUSE. Anuani: Näsby Allé 6
Tarehe: 20 june 2009
kuanzia 14.00 - 21.00
Vinywaji, vyakula vya kinyumbani pamoja na nyama choma vitapatikana kwa bei nafuu. Usisahau tutafurahi kwa muziki wa kinyumbani
( Bongo fleva, Pinda mgongo, Rusha roho, n.k.)
NYOTE MNAKARIBISHWA.
wheeeew!
ReplyDeleteafadhali mmeonyesha ilo house la ki-Tz mana tuliingiwa na wasiwasi la paa
asanteni
Mkuu wa wilaya ya nanihii tafadhali fikisha ujumbe huu muhimu kwa wadau wa Stockholm:
ReplyDeleteMUHIMU! Usafiri wa kufika Tanzania House (Nasby Alle) umebadilika. Toka Stockholm Central Station, chukua Redline iendayo Mörby . Teremka Danderyd, na kisha chukua Bus Na. 29 kwenda Nasby Park. Teremka Nasby Alle karibu na duka la VIVO.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Omar – 0704671940; Rashid – 0704028430; Adrey – 0737106092; Jumaa – 0704470323; na Zam - 0737234412
mdau wa mwanzo, what are trying to say? unaweza kutueleza hasa dhumuni la post yako?
ReplyDeleteHongereni wadau Sweden kwa kuwa na TANZANIA HOUSE.repres.....
ReplyDelete