Eneo la tukio la mnuso kesho huko stockholm
Wadau wa Sweden na vitongoji vyake mnakumbushwa kwamba umoja wetu wa Tanzania ukishirikiana na Ubalozi wetu hapa Scandinavia unapenda kuwakaribisha kwenye tafrija ya pamoja kwa kuwakutanisha ndugu na marafiki wa watanzania kwenye ukumbi wa TANZANIA HOUSE.

Anuani: Näsby Allé 6
Tarehe: 20 june 2009
kuanzia 14.00 - 21.00

Vinywaji, vyakula vya kinyumbani pamoja na nyama choma vitapatikana kwa bei nafuu. Usisahau tutafurahi kwa muziki wa kinyumbani
( Bongo fleva, Pinda mgongo, Rusha roho, n.k.)

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    wheeeew!
    afadhali mmeonyesha ilo house la ki-Tz mana tuliingiwa na wasiwasi la paa

    asanteni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    Mkuu wa wilaya ya nanihii tafadhali fikisha ujumbe huu muhimu kwa wadau wa Stockholm:

    MUHIMU! Usafiri wa kufika Tanzania House (Nasby Alle) umebadilika. Toka Stockholm Central Station, chukua Redline iendayo Mörby . Teremka Danderyd, na kisha chukua Bus Na. 29 kwenda Nasby Park. Teremka Nasby Alle karibu na duka la VIVO.

    Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
    Omar – 0704671940; Rashid – 0704028430; Adrey – 0737106092; Jumaa – 0704470323; na Zam - 0737234412

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2009

    mdau wa mwanzo, what are trying to say? unaweza kutueleza hasa dhumuni la post yako?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2009

    Hongereni wadau Sweden kwa kuwa na TANZANIA HOUSE.repres.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...