Tanzania House
TANZANIA DAY IN STOCKHOLM

Umoja wetu wa Tanzania ukishirikiana na Ubalozi wetu hapa Scandinavia unapenda kuwakaribisha kwenye tafrija ya pamoja kwa kuwakutanisha ndugu na marafiki wa watanzania kwenye ukumbi wa TANZANIA HOUSE.

Anuani: Näsby Allé 6, Stockholm
Tarehe: 20 june 2009
kuanzia 14.00 - 21.00

Vinywaji, vyakula vya kinyumbani pamoja
na nyama choma vitapatikana kwa bei nafuu.
Usisahau tutafurahi kwa muziki wa kinyumbani
( Bongo fleva, Pinda mugongo, Rusha roho, n.k.)

NYOOOOOTE MNAKARIBISHWA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    siendi popote biashara ya Watanganyika hii!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    huko ni umbea tu , nani kafanya lile na nani kavaa vile ,

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2009

    Mnaubaguzi wabemba'nyie...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2009

    hilo paa ya nyumba ni la Tanzania house? je hiyo ni snow au paa lililo chakaa?

    Nakutakieni mkutano mzuri, maana shughuli ni watu na watu ni shughuli.

    Mdau
    kitomondo TMK Dsm.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2009

    SISI TUTAKUWA WA KWANZA KWENDA HUKO, HAYO MAKULAJI YA KITZ NA MISHAKIKI KAMA YA MWAKA JANA KWA KWELI SITOYAKOSA.
    WEWE ANNON 1 KAA KWA NYUMBA NA UNANIHII

    MDAU STOCKHOLM

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2009

    Mdau Majuto atakuwepo?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 17, 2009

    wewe unaesema huko ni umbea tu inaonekana wewe ndio mbea mkubwa, na wewe sisi kama sisi Watanzania tutaeda kula mishkaki na sambusa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...