Tunaomba samahani sana kwa mabadiliko ya shughulii yetu ya jumamosi. Kutokana na utabiri wa hali ya hewa ambapo imetabiriwa kutakuwa na mvua shughuli yetu itafanyika siku ya jumapili.
Tunakuombeni samahani kwa usumbufu
Kwani kufika kwenu ndio mafanikio ya shughuli yetu
Shukran
Mwenyekiti wa Kilimanjaro club
Zam Khalifa
kazi ipo.huko ni umbea mtupu hakuna kingine majungu yamewajaa hadi usoni.lates wait for the result.
ReplyDeletemdau daima.
haya ndiyo mambo tunataka ,siyo sijui tawi la nini sijui reading,mara tawi sijui la chama gani huko russia
ReplyDeletehongera wabongo wa sweden
wewe mdau wa hapo juu wa kwanza endelea kukonda tu.
ReplyDeleteKwa kweli hayo ndio mambo tunayotaka kusikia, watu wanakutana wanabadilishana mawazo, wanakula nyamachoma na mambo kama hayo. Na ijumaa ijayo tarehe 26/6 tunaenda Finland kucheza soka na Bongo FC ya Helsinki. Huyo mdau wa kwanza mwacheni ajitenge.
ReplyDelete