Tunaomba samahani sana kwa mabadiliko ya shughulii yetu ya jumamosi. Kutokana na utabiri wa hali ya hewa ambapo imetabiriwa kutakuwa na mvua shughuli yetu itafanyika siku ya jumapili.
Tunakuombeni samahani kwa usumbufu
Kwani kufika kwenu ndio mafanikio ya shughuli yetu
Shukran
Mwenyekiti wa Kilimanjaro club
Zam Khalifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    kazi ipo.huko ni umbea mtupu hakuna kingine majungu yamewajaa hadi usoni.lates wait for the result.
    mdau daima.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    haya ndiyo mambo tunataka ,siyo sijui tawi la nini sijui reading,mara tawi sijui la chama gani huko russia
    hongera wabongo wa sweden

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2009

    wewe mdau wa hapo juu wa kwanza endelea kukonda tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2009

    Kwa kweli hayo ndio mambo tunayotaka kusikia, watu wanakutana wanabadilishana mawazo, wanakula nyamachoma na mambo kama hayo. Na ijumaa ijayo tarehe 26/6 tunaenda Finland kucheza soka na Bongo FC ya Helsinki. Huyo mdau wa kwanza mwacheni ajitenge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...