Mama (Kaimu) balozi Victoria Mwakasege licha ya kutoka safari jioni hiyo lakini aliweza kufika na kujumuika katika mnuso wa Tanzania House Stockholm ambao ulifana sana wikiendi ilopita. MixMaster DJ Richie akiwajibika

bila nyama choma mnuso wa kimatumbi haujakamilika bado...

Msanii Bablo Mashine alikuwepo kuonesha namna sebene linavyomegwa…

rusha roho kama kawa...
wadau wakifurahia mnuso Tanzania House

yosso hawakukosa











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2009

    Pablo Machine safi sana One Man show yako aka mwanzo mgumu,bab kubwa,unajua akina Mopao Koffi walianzaga hivyo hivyo.usikate tamaa kwenda mbele na kurudi nyuma ndio mziki,utafika tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2009

    BablO Mashine,
    h aha hha hahah! acha msuba! Naona hapo ulikuwa uko under influence ya msuba au kilaji.

    ReplyDelete
  3. namuona shemeji yangu DJ Richie akifanya vitu vyake hapo.
    mdau coventry-uk

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2009

    ...na hao wazungu ni watanzania??

    ofkoz wapemba hawapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...