mdau aleluya amos na mai waifu wake neema msemwa wakijidai katika coco beach ya mjini bukoba wikiendi iliyopita baada ya kumeremeta na kabla ya kwenda kwenye mnuso wao wa nguvu
alueluya na neemawameremetaji na wapambe wao. shoto ni mpambe wa bi harusi Kisha Nsimbo na wapambe wa bw harusi Wilbroad na Denise Sindano.
wapambe wilbroad (kulia) na denise wakijiandaa kuelekea kwenye mnuso baada ya kazi ngumu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2009

    Picha nzuri ila washauri next time watu wengine wasipande kwenye huo mfuniko wa manhole kwani design yake haikuangalia uzito wa watu wawili waliobebana na kusabisha concentrated load inayoweza kuvunja mfuniko huo na kuwafanya wadumbukie na sherehe kuingia mchanga.

    Hatujui kama huo mfuniko umewekewa nondo ndani au ni zege tupu, hatari sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2009

    Dah Jamaa wamependeza sana. Halafu nzuri zaidi hawakuvaa lebo za makoti. Safi sana!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2009

    jamani wachaga mnajulikana ushamba kutwa nzima kuiga vya kwenye TV

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2009

    Hongera zenu tele tele. Nawatakia kila la kheri ila mmeniogopesha maana hapo kama pana hatari vile.

    ReplyDelete
  5. Al MusomaJune 23, 2009

    Good for you young man "anabebeka" and for the lady - I kep up your diet as a bad one would have entailed calling in a weightlifter to help...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 23, 2009

    Malavidavi ya kuwa na reasonable weight. Kidada munaona mambo hayo sio mtu anakuwa mzito kama gunia la sembe!! mnamiso mavituzi!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2009

    Angalieni sana hizo sehem mnazopigia picha jamani. Michuzi alishawahi kupigia picha sehem ya hatari akiwa kwenye meli kuelekea Zanzibar. Wewe nawe na mkeo mmesimama kwenye mfuniko wa****** hivi mnaelewa danger hiyo?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2009

    harusi nzuri lakini mpiga picha camera yake bomu. Pixels zipo so down...mgepata camera nzuri hayo mpozi yenu baabu kubwa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 23, 2009

    Mmependeza sana Hongereni, ila muwe wangalifu na makini katika maisha yenu, msije simama tena mahali hatari kama hapo mliposimama,

    Mungu awajalie maisha ya upendo na furaha,

    Je Muosha kinywa aliyesema Wachaga ni washamba, sioni kama kuna kosa kwa hawa wanaopendana. Je wivu, roho ndogo, au ni umasikini wake unamsumbua???????????

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2009

    hii imetulia sana, hapo kama sikosei ni Morning site Morogoro, inanikumbusha mbali sana enzi zile nikifika mahali hapo na vijana wenzangu kwa ajili ya kula upepo. ni Mahali pazuri sana hapo, ukikaa hapo mji wote wa Morogoro unaonekana. sasa najiuliza hawa maarusi walifikaje huko maana sisi tulikuwa tunaenda kwa miguu maana njia ya gari haikuwepo. au siku hizi imechongwqa barabara?????? aliyefika Morning site hivi karibuni anisaidie kwa hilo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 23, 2009

    anabebeka...ndo la muhimu

    ila mnatishia usalama wenu,msisimame apo juu tenaaaa!!

    asante

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 23, 2009

    Mijitu mingine bana...wewe umeshaambiwa ni Bukoba sasa Morogoro inatoka wapi!!

    ReplyDelete
  13. hahah ufuniko wenyewe umesha cracked long time lakini powa zenge lina nondo na ukianguka hufi powa tu utaogelea na siku hizi huku morning side kuna cable car babake kupanda buku kumi tu we unaeuliza njoo vekesheni ujionee na bonge na restoranti juu ya mlima dola mia tu per nite u welcome

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 23, 2009

    Hebu muangalie hiyo milima, mnapanda huko mkianguka Insurance mnazo? Maeneo mengine ni hatari jamani

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 23, 2009

    Hawa nduguzangu wamependeza mno,ila hapo waliposimama kwa kweli yaani mwili umenisisimuka kwa hiyo hatari niliyoiona.

    Mkulima-Kijijini Gezaulole

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 25, 2009

    Huyu Bwana harusi yuko Bomba sana basi tuu labda wa mkoani au kujijini, ila angekua Dar huyu au Ulaya ni bonge la handsomeboy , hongera bibie kumpata kijana mzuri .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...