
★•★• MWANA FA LIVE ON THE STAGE “RIP COVENTRY AFRO JAM EXPERIENCE” FOR THE GROWN&SEXY•★•★
▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
SATURDAY 04TH JULY 2009@ PALMS CLUB116 FAR GOSFORD STREET .COVENTRY.CV1 2JT*
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
ENTRY: FREE FOR LADIES ON GUEST-LIST BEFORE MIDNIGHTDOOR: £10TIME: 10PM TILL 4AM (EARLY ARRIVAL ADVISED)
▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀▀
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
SATURDAY 04TH JULY 2009@ PALMS CLUB116 FAR GOSFORD STREET .COVENTRY.CV1 2JT*
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
ENTRY: FREE FOR LADIES ON GUEST-LIST BEFORE MIDNIGHTDOOR: £10TIME: 10PM TILL 4AM (EARLY ARRIVAL ADVISED)
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
THE VERY BEST DJ'S► DJ RULE► FAFA► DJ SHIRI► DJ COSTA► LIBERT FBT SOUND► DEXTER & MARCUS IRIE (Sony BMG) (Glamorousparties)► J COM & SHAMELESS
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦►
SWEET R&B► HIP HOP► SWEET AFRO BEATS► 80s/90s PARTY CLASSICS from back in the days.► FUNKY HOUSE► DANCEHALL AND SOCA
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
DRESS-CODE: SMART, SEXY & SOPHISTICATED.NO HOODS ,NO CAPS
✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦✦
DRESS-CODE: SMART, SEXY & SOPHISTICATED.NO HOODS ,NO CAPS
Nimekuwa nikifurahishawa na jinsi bwana mdogo unavyojituma ktk kutafuta maisha,nasijaona mwana wa Bongo flava yeyote kama wewe! unajua nini maana ya Elimu! kwani wengi wao walipata umaarufu na pesa lakini leo hii ni ombaomba,walishindwa kusonga mbele na kuiongeza pesa kutokana na kutokua na shule mfano ni kama Feruzi,Mr Nice na hata huyu dogo ali Kiba kama hana mtu wa kweli wa kumsimamia upande wake ataishia kupigishwa Mashoo kibao bila kuona PESA,na hata kama ataiona atashindwa kuindeleza na kurudi alipotoka!
ReplyDeleteILA LA MSINGI HAPA NIKUKUSHAURI KWAMBA KAMA PESA ULIYO TENGA KWA MASOMO INATOSHA BORA UMALIZE MASOMO YAKO,KAMA NI SHOO BORA UFANYIE NYUMBANI TU,KWANI NAUHAKIKA VISA YAKO HAIKURUHUSU KUJIHUSISHA NA PROFESSIONAL ENTERTAINMENT.UTAWARUSHA ROHO HAO WA BONGO LAKINI KATI YAO HAO HAO WATAKURIPOTI NA JAMAA WATA KUDEPORT UTAKUWA UMEPOTEZA SHULE YAKO NA PESA.HUU NI USHAURI WA BURE SI MAANISHI KWAMBA WABONGO WANA ROHO MBAYA,ILA KUNA WATU AMBAO HIZO HUWA NDIO SHUGHULI ZAO.
NAKUTAKIA KILA LA KHERI MWANA FA.
jamani huyu kaka hata mimi namfagilia sana,hata haringi nilimuona coventry yuko tu mpole na wenzie yaani kawaida tu anaongea vizuri sio yule aliefungwa TID nyodo nyingi alikuwa akija huku,kana kwamba huku ni heaven na watu tunakuwa wazungu kumbe wabongo tukiwa huku tuko vilevile tu ugali ,bamia,choroko tunakula,anon hapo juu naona huyu anaintertain wakati wa holiday tu,saivi wamefunga chuo,i think no problem.
ReplyDeleteWe anonymous hapo juu (bwana Peter) acha kudanganyika! Huyo jamaa (Mwanafalsafa) hasomi wala nini hapa UK, yeye mwenyewe pia kama hao wengine uliowasema kazi yake pia ni kupiga shoo tu!
ReplyDeleteMimi NIKO hapa Coventry University mwaka wa pili sasa na wala hatujaona dalili ya Mwanafalsafa wala nini tuko waswahili wachache sana hapa chuoni na sote tunafahamiana!
Kama alivyodai kwenye Bongo Celebrity kwamba hiki ndio chuo anachosoma sisi tumekuwa tukiulizana mbona hata hatumwoni? Hapa kila mwanafunzi ana student no. na kuna database ya wanafunzi wote tumemtafuta kwenye hiyo ili tujue yuko kwenye faculty gani, hakuna hata dalili!!
Unajua hawa madogo (wabongo flavour) wengi wao hupenda publicity tu, they ain't real! So beware!
Bw. MwanaFA, Wacha kupotosha umma wa Watanzania!!!
we unayesema hasomi ni nani?tupe namba yako tukutafute na wewe.mbona yupo hapa.ama humjui/.kwekwekwe.wewe unasoma kweli wewe?acha wivu wa kipumbavu.utakuwa unaumwa hapo ile site yenu imefungwa ungeenda kutukana
ReplyDeletemdau uliyedai mwanafa hasomi acha wivu,unasoma faculty gani wewe?na ni database gani hiyo na miye nasoma hapa mbona ssijui ya kutafuta wanafunzi?huyu mtu yupo na anasoma finance na tunamuona na kuongea naye kila mara hapa.wewe ndiyo uwache kudanganya watanzania mshamba wewe,majungu tu.kwanza huwezi kuwa hata unasoma,na kama upo ulaya utakuwa hata hiwishi kihalali.beba boks acha wivu.mbwa we
ReplyDelete