wadau baada ya kula nondozzz Ujerumani katika chuo kikuu cha Jacobs University Bremen hapo Jana. Kutoka shoto ni A. Mungereza, A Mwakisu, G Rugarabamu, D Mistry. wamekula nondozzz za Electrical Eng & Comp Science, na Biochemistry.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2009

    Konglatuleshenz!

    Bunga Bunga!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2009

    Wadau wa ujerumani mlipendeza sana na pia Hongereni kwa kuvuta nondo zenu maana kusoma siyo mchezo ni kugumu sana tu makamanda, Big up sana tu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2009

    Hizi ndizo kozi zinazotakiwa kwa nchi maskini kama zetu! Ningekuwa Rais kipaumbele katika elimu hasa kwa watu wanaosomeshwa nje na serikali ingekuwa ni masomo ya ufundi na ujasiliamali! Hongera sana wadau!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2009

    congrats Dipesh and your friends, you realy deserve it, as i remember the way u worked hard at Mzumbe Secondary i'm pretty happy to see you still going as far as to this stage

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2009

    Zuper,
    Danke schoen

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2009

    nataka kujua ni nani aliwasomesha huku ulaya?kama sio baba zenu ni mafisadi basi nanyi mtakuwa hivyo hiyvo.mjieleze haraka kabla sijakasirika.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 07, 2009

    hehehe watu wengine pumb,so funny.hongereni

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 07, 2009

    MIE NIMEMPENDA HUYO WA MWISHO KUSHOTO. KAKA UNA SMILE YA KUFA MTU. TUWASILIANE

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 07, 2009

    Inaonekana upeo wako wa kufikiri sio wa kiwango kinachotakiwa, maana kama ungekuwa mzuri labda na wewe ungeweza kusoma ulaya...Vilevile unatakiwa kufikiri kabla ya kutenda, sio unakurupuka tu na kuanza kuandika pumba. Na Kama ungekuwa umeelimika vya kutosha kama sisi wanasayansi na wahandisi ungefanya uchunguzi kwanza kabla ya kuandika ulichoandika.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 07, 2009

    kumbe mko jirani na wakaanga mbuyu wa ngoma africa bend,hongereni sana kwa kuvuta nondoziiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 08, 2009

    huyo jamaa the second from the left...is it u Ango?? tumesoma wote mzizima....congrats man...
    ur buddy

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 08, 2009

    kaka michu, una contacts za huyu joji? mi' nimemzimia jamani..nisaidia; nafwa!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 12, 2009

    Haha! Yep it is me Ango, flesh and blood. Asanteni sana wote mliotutakia kila la kheri bado tunawakilisha bongo huku kama kawa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...