Home
Unlabelled
nondozzz ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Konglatuleshenz!
ReplyDeleteBunga Bunga!!!
Wadau wa ujerumani mlipendeza sana na pia Hongereni kwa kuvuta nondo zenu maana kusoma siyo mchezo ni kugumu sana tu makamanda, Big up sana tu!
ReplyDeleteHizi ndizo kozi zinazotakiwa kwa nchi maskini kama zetu! Ningekuwa Rais kipaumbele katika elimu hasa kwa watu wanaosomeshwa nje na serikali ingekuwa ni masomo ya ufundi na ujasiliamali! Hongera sana wadau!
ReplyDeletecongrats Dipesh and your friends, you realy deserve it, as i remember the way u worked hard at Mzumbe Secondary i'm pretty happy to see you still going as far as to this stage
ReplyDeleteZuper,
ReplyDeleteDanke schoen
nataka kujua ni nani aliwasomesha huku ulaya?kama sio baba zenu ni mafisadi basi nanyi mtakuwa hivyo hiyvo.mjieleze haraka kabla sijakasirika.
ReplyDeletehehehe watu wengine pumb,so funny.hongereni
ReplyDeleteMIE NIMEMPENDA HUYO WA MWISHO KUSHOTO. KAKA UNA SMILE YA KUFA MTU. TUWASILIANE
ReplyDeleteInaonekana upeo wako wa kufikiri sio wa kiwango kinachotakiwa, maana kama ungekuwa mzuri labda na wewe ungeweza kusoma ulaya...Vilevile unatakiwa kufikiri kabla ya kutenda, sio unakurupuka tu na kuanza kuandika pumba. Na Kama ungekuwa umeelimika vya kutosha kama sisi wanasayansi na wahandisi ungefanya uchunguzi kwanza kabla ya kuandika ulichoandika.
ReplyDeletekumbe mko jirani na wakaanga mbuyu wa ngoma africa bend,hongereni sana kwa kuvuta nondoziiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeletehuyo jamaa the second from the left...is it u Ango?? tumesoma wote mzizima....congrats man...
ReplyDeleteur buddy
kaka michu, una contacts za huyu joji? mi' nimemzimia jamani..nisaidia; nafwa!
ReplyDeleteHaha! Yep it is me Ango, flesh and blood. Asanteni sana wote mliotutakia kila la kheri bado tunawakilisha bongo huku kama kawa...
ReplyDelete