
1941 – 2009
Familia ya Marehemu Augustine Kakorozya inapenda kutoa shukurani zao za dhati kwa wote walioshiriki kwenye msiba wa baba yao mpendwa Mzee Augustine kakorozya aliyefariki dunia tarehe 5/05/2009 na kuzikwa tarehe 08/05/09 kwenye makaburi ya kinondoni.
MKESHA WA AROBAINI UTAFANYIKA LEO IJUMAA TAREHE 12/6/09 NA MISA YA KUMUOMBE MAREHEMU ITAKUWA KESHO JUMAMOSI TAREHE 13/6/09 SAA TATU ASUBUHI, NYUMBANI KWA MTOTO WA MAREHEMU NDUGU BENNET KAKOROZYA, SINZA MORI.
Bwana ametoa na bwana ametwaa Jina la bwana lihimidiwe.
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie Apumzike kwa Amani.
Oh jamani, he was such a great man.
ReplyDeletePoleni wafiwa wote. Bwana ametoa na Bwana ametwaa.
Benett pole sana ndugu yangu, i dont know kama utanikumbuka mimi ni Ludo Swai, tulikuwa tunasoma wote Mwenge Primary Tabora nilikuwa mbele yako one year.Basi tuwasiliane my email is ludovickj@gmail.com.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahli pema peponi.
Bennett pole sana, namfahamu sana mzee, alikuwa mtu mzuri sana na aliyependa dini sana. Namfahamu akiwa pale Tabora. Nawakumbukeni nyinyi nyote Adeodata, Revocutus na kaka zako wengi...tuwasiliane wndaki@gmail.com
ReplyDelete