wakati tunasherehekea ushindi wa taifa stars dhidi ya new zealand usiku huu, si vibaya kama tutatupia njicho makala ndefu kuhusu utoaji mimba na athari zake hapa bongo kwa mujibu wa mwanadada moja wa kitasha aitwaye denise grady aliyeitoa katika new york times mwanzoni mwa mwezi huu wa juni. kwa taarifa kamili ya huyo mwanadada

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2009

    I can't believe there are no contribution regarding this issue after being posted for the past 5 or 6 days!
    This is a very sensitive and important issue as women have to have a say about their bodies and lives...please do not mix this with religion or other beliefs; its just about woman's right of choice and not for men to dictate.

    Mdau Toronto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...