ambrose a.k.a dunga akiwakilisha
enika na sauda wakiwajibika jukwaani katika tamasha la muziki la Bayimba lililofanyika hivi karibuni ukweni Kampala ambapo wabongo walitia fora sana

enika na yusufu chambuso wakifanya vitu vyao jukwaani

enika akighani

fred saganda (mtunzi wa wimbo wa kichaga ule wa 'eti hata chuwa alikuwepo') akicharaza mpini

shabani rashidi






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2009

    Enika Rocked in Kampala!! Waited all night for her cuz she was closing act.. and she did not disappoint... everyone was great... TZ was represented very very well... Mzuks!

    When will she be in Kenya??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2009

    hivi ndivyo wanamziki mnavyotakiwa kufanya mtjitoe uwanjani kimaso maso, sio hizi play back za kitchen paty,harafu mtatuletea picha oh! milifunika,tuleteeni picha mnakula mzigo jukwaani LIVE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...