
siku ya jumamosi watarekodi wimbo wa kumiambao ndio utakamilisha album wimbo huu uitwao wasichana wa vyuo vikuuwatamshilikisha mkongwe kutoka kanda ya ziwa Jitamani na kazi hiyoitafanyika ndani ya studio ya Noizmaker Arachuga chini ya mtayarishaji DX
wa kwanza kushoto anataka kufanana na young WARREN G
ReplyDelete