Home
Unlabelled
barnaba na regina wameremeta a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo miwani itazua gumzo hapa, labda iwe imevaliwa kwa sababu maalum! Nitarudi baadaye kusoma maoni.
ReplyDeleteBwana harusi mwanya bibi harusi mwanya labda walipendana kwa sababu wote wana mianya
ReplyDeleteHongereni sana sana mmependeza. Lakini mume ana mwanya, wife ana mwanya watoto si watotatoka mapengo???!!!!
ReplyDeleteHongereni sana.
ReplyDeleteJamani kama mna mtoto naombeni kujua kama nae ana "mwanya", au mkishajaaliwa, mtanijulisha
mtoto akitoka bila mwanya atakuwa ni feki, itabidi mkampime dieniei.
ReplyDeletehahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletewatu mna mijicho???
bi harusi umependeza sana,asa izo tea-teazzz
kwa leo inatosha
asante
(word verification jamen)
Hongereeni sana na karibuni kwenye maisha ya ndoa. Ila kaka (bwana harusi) picha ya nne (4) uliyokaa chini, siku nyingine ukiwa na wife usikae design hiyo; hahahaaa; umekunja miguu na mikono kwenye magoti, hahahaaa! Mungu awabariki.
ReplyDeleteteheeee teheeee tuhuuuu tuhhhuu hongera ssanaa dada Regina Mongi umependeza sanaaa.
ReplyDeleteWamependeza kama mawardi
ReplyDeleteLakini kwa nini wamepiga picha mbele ya mzoga wa huyo masikini ya mungu ndovu
All the same congratulations and may the Merciful reward you for your faith in togetherness
Wakatabahu
Maybe ni watoto wa baba mmoja,ilibidi wapime kwanza.
ReplyDeletemweee watu mnajua kutafuta uchokozi lol nimecheka hadi basi yaani nilitaka kuongezea comments ila yote niliyotaka sema yameshasemwa hahahahahah miaya kukaa miwani lol
ReplyDeletemmependeza sana,safi sana..sisi tutawaiga tuweke nyumba zetu sawa kama nyie ila nina swali la kizushi wakubwa..
ReplyDeleteHIVI BWANA HARUSI AMEKALIA NINI VILE HAPA ?
michuzi mbona unabana baadhi ya comment mzee mwenzangu,pamoja na kuwa wee mzee mwenzangu lazima nikutukane kidogo nitoe hazira "SURUALI YA GU BLOG GWAKO GWA JAMII"
ReplyDeleteok mzee nimetoa hasira baada ya kukutukana kingonyani ngonyani)))
fikisha ule ujumbe kwa huyo mtoto wa pili toaka kulia nimemzimikia(samahani kama ni my wife wa mtu!ohh) halafu word verification ya hapa chini inafanana na jina yaani imeandikwa TUNTUFYE!tehtehteh