mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni. picha hizi zinadhihirisha ni jinsi gani wana mipango miji wa visiwani walivyo makini katika kazi yao, tofauti kabisa na ilivyo dar.
wakati maeneo yamepangwa na kupangika, viwanja vya wazi vinaheshimika na haviguswi ovyo...
wazee wa mipango miji dar mpo????



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hata dar es salaam ukipita kwa ndege kule oysterbay, kariakoo, posta utakuta hivyo hivyo kumepangika vizuri. we fanya ziara zenji nikuonyeshe squatters, mwenyewe utakimbia,huko tomondo, nyarugusu, magomeni, jang'ombe, uholanzi etc ni balaa!! hakuna hata vichochoro vya kupita. Usi-judge ukiwa juu ya ndege ndugu. karibu zenji uone

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    HATA DAR NI HIVYO HIVYO TU, INGINIA KATIKA GOOGLE MAP UONE DAR, MITAA YA MBEZI BEACH.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2009

    Kweli,Mnyonge Mnyonei lakini haki yake mpeni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...