Home
Unlabelled
akili ni nywele
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hili tatizo la Makontena kuanguka hapo hapo si mara moja ni kila baada ya miezi miwili mitatu huwa yanadondoka, labda serikali itusaidie kutatua hili tatizo manake siku litakapodondokea daladala likiwa na abiria ndo serikali itaamka, na tumshukukuru Mungu kwa kuwa haijawahi kutokea mtu kuumia au kudhurika. ila ikitokea hivyo itakuwa ni madhara makubwa sana. tunaomba serikali itusaidie sisi tunaotumia hiyo barabara hata kuweka sign kuwa kuna kona mbaya au mteremko mbaya.
ReplyDeletekaka michuzi sio wiki iliyopita tui tabata kwa kweli karibia kila mara utakuta foleni kubwa ukiuliza kontena limedondoka ni zaidi ya mara 2 sasa tunapata kesi hiyo kwakweli wakazi wa tabata tunapata shida sana ukifikiria barabara yenyewe nii ndogo magari mengi sasa makontena makubwa yanapopita kule matokeo yake hudondoka pale ni shida sana,tunaonomba wahusika wafanyie utatuzi suala hili kwani linatukera sana wakazi wa tabata.mtu unatoka kazini saa kumi na moja unafika nyumbani saa tano usiku kweli jamani.tina
ReplyDeleteMbona mahali hapo ni kawaida malori makubwa kupata ajali na kusababisha foleni za ajabu ajabu kila kukicha. Foleni za hapo tumezizoea iwe tunakwenda au tunatoka makazini.
ReplyDeletePia barabara hiyo hadi Segerea kwa bibi kwa kutengenezwa kila siku ni kawaida. yaani wataweka leo lami na baada ya miezi kama mitatu mbele lami iliyowekwa inakuwa imeshachakaa na kukwanguliwa kuwekwa lami nyingine. Na muda huu wanaume wako kazini kukwangua kipande cha barabara. Miezi mitatu au minne mbele watakwangua na kuweka lami mpya kutengeneza noti! Kama siyo kitega uchumi cha wakubwa tuelewe nini basi? Hii ndiyo Bongo bwana.
Hii Ngoma ilimshinda jamaa then ikapiga "Rivesi" fasta hapo mlimani..
ReplyDeleteStyle hizi huwa ni kawaida sana hasa Utingo anapopewa Funguo ili alitoe CCM (parking) na alisogeze karibu na Gest alipolala Dereva.
Hayo Madude yanataka uzoefu, siyo tu kulenga barabara kama
vi-corolla waendeshavyo Dada zetu.
Hii ndio hali halisi ya Kitanzania sheria hamna mtu anaweza kufanya analotaka kwakuwa ana uwezo wa kipesa au anajuaana mkubwa fulani. Hii barabara ninavyoijua mlori mkubwa kama huo ulienda kufanya nini huko? Alama zipo lakini watu vichwa ngumu. Viboko ingekuwa dawa murua kwa watu kama hawa.
ReplyDeleteWewe anon wa 3.30 badala ya kuchangia kuhusu tatizo la hatari la makontena kuanguka barabarani unaleta dharau kwa wanawake. Hivi watu wengine huwa hambadiliki na wakati mkaanza kuonyesha japo chembe ya heshima kwa mama na dada zenu? Kama una mke kweli unamheshimu wewe kama unaweza kuandika sentensi kama hio hapa? Naomba Mungu akupe hekima kwa kweli.
ReplyDeleteJamani bongo si ni tambarare? sikujua tambarare mambo kama haya yanatokea, foleni masaa 4 nakuendelea? tambarare ni kupaa hamna dk mbili zakupoteza ovyo. goodluck na tambarare yenu!!
ReplyDeletenaungana nawe 12:36am
ReplyDeleteuyo annon 03:30pm...sijui kabanwa na ngiri,sijamuelewa anaposema vi-corolla-----
sio kosa lako nafikiri ngiri tu km sio bu..s..ha linaanza kukubana
uo ni wivu baada ya kuona kinamama wanabanana kwa kwenda mbele
haya sasa juzi kontena jana tena narudi nyumbani foleni tena tabata mgari mkubwa umeharibika sijui umeshingwa kupiga rivasi pale pale tabata relini jamani.natamani niwe kiongozi mkubwaaaa niamue mwenyewe,wee anonmy wa 3:30 eti vikolola una hasiraaaa kwasababu haunaaa eeeeeeee na madada ndio wanaoongoza kwa magari hapa mjini,shauri yako njoo tukutunze wewe angalia kijana.Tina
ReplyDelete