Home
Unlabelled
BREKING NYUUUUUZZZZZZZ: MELI YASHIKA MOTO BANDARINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bado tupo nyuma sana,yaani hatuna boti maalum ya kuzima moto unapotokea kwenye meli, mpaka gari la kuzimia moto libebwe kufikishwa eneo la tukio? hii ni aibu sana.
ReplyDeleteWatanzania mbona hatupo makini? tuna matatizo gani?
Duh! Jamani hizi meli ziangaliwe, tulianza na moja kuzama, jana moja imekatika mlango ikiwa njiani,leo moto! Najua tukitoka hapo tunahamia kwenye ndege!!!
ReplyDeleteChanzo hatujaeleza bado, Nishoti ya umeme au kunabaharia alikuwa anapiga jiko la gesi au ni nini? Pili mdau nyingi unatumika kuokoa mali isiteketee. Mpaka fire ije waipandishe kwenye pantoni. Si wangechukua pump wavute maji kibao baharini. simple and clear. to save time
ReplyDeleteMajanga yamezidi mbona, ikitoka nchi kavu inakwenda majini..well, Michuzi tunashukuru kwa kutupa news kama zinavotokea, Mungu atunusuru maana ni ngumu kupokea taarifa za namna hii..
ReplyDeleteMSISHTUKE JAMANI HILO NI ZOEZI LIMEANDALIWA NA KIKOSI CHA ZIMA MOTO KUJIWEKA SAWA IN CASE MELI IKIWAKA MOTO NINI KIFANYIKE. BIG UP SANA FAYA.
ReplyDeleteNilifkiri tulivyofanya D===R===I===L==L hivi majuzi ilikuwa tunajiandaa kwa majanga kama haya? Lakini hatuna vifaa? Duu....kuna kazi hapa.
ReplyDeletenimependa ubunifu wa kubeba FAYA kwenye pantoni, Tanzanians are very inovatoors, tunatumia dhana na utundu tulionao katika wakati wa dharura, hatuwezi kuwa na technologia ya wazungu.
ReplyDeletejamaa walioosimamisa trip za watu walifikiria ujanja mzuri vinginevyo bandari yote ingewaka
Du Bandari ya Salama TAMBARAREZZZ,
ReplyDeletesa JE KAMA MELI INAUNGUA OVERSEAS KULEE INAKUWAJE ???Tutapakia Fire trucks hadi huko>>>>>??
BALOZI Gombea Urais Ufanye MAMBOZZZ
Ole wenu kama pantoni yetu nayo ingeshika moto. Inakuwajee mbona bandari na eapoti hapa kwetu ndio wanaaminika katika kupambana na majanga kama haya??
ReplyDeleteMiaka ya Nyerere wakati nasoma Forodhani Sec, hapo hapo liliungua jahazi. Tabu ilikuwa ni mapipa ya gas yalivyokuwa yakilipuka na upepo ukawa unasukuma hizo fire balls upande wa shule na Wizara ya Maji (enzi hizo). Watu walitoka mkuku maghorofni...Jamaa wa fire hawakutokea kabisa (labda wese halikuwepo au "pumzi" ktk magurudumu haikuwepo) mpaka jahazi likaungua na kubakia frame na majivu tu.
ReplyDeleteBlakmpingo