
"SAMAHANI" NDIO ALBUM MPYA YA MWANAMUZIKI WA KITANZANIA ANAEISHI UGHAIBUNI. GALINOMA aka BUTI JIWE ANAISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZAKE NCHINI UHOLANZI, AMETOA ALBUM YENYE NYIMBO KUMI.
NA TAYARI VIONJO VYAKE VINASIKIKA KATIKA REDIO ZA BONGO (TANZANIA). PATA NAKALA YAKO YA ALBUM "SAMAHANI" KWA KUWASILIANA NA:
TEL: +31 0641 915522 :GALINOMA***(HOLAND-ND)
TEL: +39 081 3340648: SEEWEAR& GFAMILY PRODUCTION***
(ITALY) TEL: +255 713 452575 : MR. A.NYONI (TANZANIA)
Jamaa ana jina Gumuu lakini ndani ya Album nyimbo soft, mfano ni hilo jina lililobeba album "Samahani", bora ata ungeandika Nguna harage....
ReplyDeleteKwa yoyote ambaye anamashaka na Album hiyo na anayejua muziki asiogope kununua ina nyimbo nzuri na zilizo tulia mimi niliisikia miezi 2 iliyopita.Jamaa anapiga muziki wa aina yake na tofauti kabisa na wasanii wengine wabongo.Style yake nadhani kila mtu ataipenda.It's cool
ReplyDeleteKuna nyimbo kama mwamy mtoto wa Temeke, Umri mdogo, nani kama mama ,mapenzi sio uchawi na nyingine nyingi tu.
Please rush it and catch it as soon as possible.
Mjusi,London
Innocent Galinoma?
ReplyDeleteStandin' on the mountain's top,
of Mount Kilimanjaro,
the highest mountain in Africa,
there i see illusions.....