"SAMAHANI" NDIO ALBUM MPYA YA MWANAMUZIKI WA KITANZANIA ANAEISHI UGHAIBUNI. GALINOMA aka BUTI JIWE ANAISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZAKE NCHINI UHOLANZI, AMETOA ALBUM YENYE NYIMBO KUMI.


NA TAYARI VIONJO VYAKE VINASIKIKA KATIKA REDIO ZA BONGO (TANZANIA). PATA NAKALA YAKO YA ALBUM "SAMAHANI" KWA KUWASILIANA NA:


TEL: +31 0641 915522 :GALINOMA***(HOLAND-ND)

TEL: +39 081 3340648: SEEWEAR& GFAMILY PRODUCTION***

(ITALY) TEL: +255 713 452575 : MR. A.NYONI (TANZANIA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    Jamaa ana jina Gumuu lakini ndani ya Album nyimbo soft, mfano ni hilo jina lililobeba album "Samahani", bora ata ungeandika Nguna harage....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    Kwa yoyote ambaye anamashaka na Album hiyo na anayejua muziki asiogope kununua ina nyimbo nzuri na zilizo tulia mimi niliisikia miezi 2 iliyopita.Jamaa anapiga muziki wa aina yake na tofauti kabisa na wasanii wengine wabongo.Style yake nadhani kila mtu ataipenda.It's cool
    Kuna nyimbo kama mwamy mtoto wa Temeke, Umri mdogo, nani kama mama ,mapenzi sio uchawi na nyingine nyingi tu.
    Please rush it and catch it as soon as possible.

    Mjusi,London

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2009

    Innocent Galinoma?

    Standin' on the mountain's top,
    of Mount Kilimanjaro,
    the highest mountain in Africa,

    there i see illusions.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...