uwanja wa tennis na jukwaa chuo cha posta kijitonyama maji machafu, dar
mandhari ya nyuma ya chuo cha posta cha kijitonyama maji machafu

maendeleo ya ujenzi wa dar village

kutokana na maoni ya wadau kibao anko nanihii ameingia uswazi kuleta taswira za huko. hapa ni kijitonyama maji machafu jirani na makao makuu ya kampuni moja ya simu na chuo cha posta

anko akila pozi
makao makuu ya kampuni ya simu ya nanihiii

SWALI:

ANKO NANIHII ALISIMAMA JENGO LIPI

WAKATI ANAPIGA TASWIRA HIZI???

ZAWADI: TASWIRA YOYOTE ATAYOOMBA MSHINDI
MWISHO: JUMATATU SAA SABA ALASIRI
MASHARTI: IKITOKEA SARE ZAIDI YA
MOJA TUTAFANYA DROO NA UMAUZI
WA MAJAJI NI WA MWISHO
ANGALIZO: HII SI BAHATI NASIBU NI
CHEMSHA BONGO NA FURAHISHA BARAZA...
WE TAJA TU NI JENGO GANI ALILOSIMAMA
ANKO NANIHII NA SI VINGINEVYO






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 79 mpaka sasa

  1. Swafi kabisa yani Bongo panapendeza siku hizi ukiona katika picha unahisi raha vibaya bin kichizi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2009

    millenium towers hotel

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2009

    Akiba commercial bank

    ReplyDelete
  4. Uncle alisimama Milennium Tower

    ReplyDelete
  5. ulisimama Millenium tower

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2009

    millennium Tower

    ReplyDelete
  7. bwana naniiiii alipiga picha hiyo akiwa ktk juu ya majengo ya chuo cha posta ,pale ilipofanyika shoo ya BEENIE MAN.

    MADAU

    awadhi.
    a.k.a. snipertz
    TICTS

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2009

    Ulisimama kwenye mnara wa simu ya vodacom

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 24, 2009

    Anko nanihii alisimama katika jengo la chuo cha posta kijitonyama

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 24, 2009

    Bwana Miposi wa Mithupu, mie nimesoma saana mpaka vitabu vikachanika vyenyewe!!!
    Infwakti nshomire!!
    Hapo ulipo aidha uko Mwenge satelite station au kwenye jengo jipya linalojengwa la Dar Village.
    La sivyo umepanda kiberenge cha kukupandisha juu!!!
    Hata hivyo taswira zako ni poa.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 24, 2009

    Ha! Anko nanihii ze fulanaz? Du wewe noma, je unapair ngapi za hizo fulanaz ?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 24, 2009

    Peacock Millennium Towers Hotel.
    JK

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 24, 2009

    mkuu wa nanihii hapo ni millenium towers juu pale. challi

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 24, 2009

    Kaka hapo bila ubishi ulipiga ukiwa millenium tower k'nyama. Ila nashauri kitu kimoja, JK amrudishe Keenja Halmashauri ya jiji, maana pamoja na kwamba maghorfa yanaongezeka kwa kasi ya ajabu,takataka na harufu mbaya ya taka vinaongezeka mtaani kwa kasi ya kutisha. Watu wamekosa ustaarabu kabisa inatia aibu sana.

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 24, 2009

    chuo cha posta

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 24, 2009

    mbona rahisi sana alipo pigea hizo picha alikuwa jengo la ttcl seatlite site nyuma tu ya rose garden. ni ban2

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 24, 2009

    Michu: Ulisimama pale karibu na kijiwe cha thupu ya thamaki, yaani "Break Point" - hata sielewi kwa nini walipaita break point...au kwa sababu watu wanakunywa hiyo supu (thupu) na wakati huo huo wakinutha harufu ya maji machafu....(Na mimi nimechemsha, si ndio michu??)

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 24, 2009

    HAPO NI JENGO LA COSTECH, KAMISHENI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA...

    ReplyDelete
  19. bwana michu amesimama kwenye rooftop ya jengo mojawapo la kilichokuwa chuo cha posta,hilo jengo lilitumika kama hostel ya wanachuo enzi hizo sijui kwa sasa.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 24, 2009

    Mdau alikuwa amesimama kwenye majengo ya Chuo cha Posta. Hassan

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 24, 2009

    alisimama jengo TCRA

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 24, 2009

    Umesimama moja ya majengo chuo cha posta

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 24, 2009

    Uncle Mithupu alisimama katika jengo liloandikwa Sanyansi na Technolojia, pale ng'ambo ya jengo la makao makuu ya hiyo kampuni ya Zain

    ReplyDelete
  24. Hostels za Chuo cha Posta (Kijotonyama).

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 24, 2009

    hapo ni jengo la chuo cha posta

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 24, 2009

    Umesimama kwenye mnara wa simu, hamna jengo refu hapo, millenium towers naiona kwa kushoto kule same as laeticia towers

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 24, 2009

    sayansi

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 24, 2009

    Mjengo unaopanda katikati ya mto Kijitonyama

    ReplyDelete
  29. Mzee wa libeneke kama sijakosea hapo ulipopigia hizi picha ni kwenye majengo chuo cha posta ambapo sasa ni majengo ya UDSM kitivo cha engineering

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 24, 2009

    Umesimama jengo la maji machafu!

    ReplyDelete
  31. Mzee wa libeneke kama sijakosea hapo ulipopigia hizi picha ni kwenye majengo chuo cha posta ambapo sasa ni majengo ya UDSM kitivo cha engineering

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 24, 2009

    Uko kwenye jengo la sayansi na technologia

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 24, 2009

    Ndugu,

    mithupu, mimi nafikiri ulikuwa kule kariakoo sokoni, tena kule shimoni

    ReplyDelete
  34. AnonymousJuly 24, 2009

    ankoo nanihii alikua amesimama juu ya stage iliyotumika kwa shoo ya beenie man

    ReplyDelete
  35. Anko swali lako rahisi sana, najua nitakuwa mmoja ya watakuoingia kwenye droo ya washindi.

    Urahisi wa swali lako unatokana na kutokuwepo kwa majengo marefu sana eneo hilo na pamoja picha yako namba 3 inajidhihirisha kwakuwa kuna kipande cha antenna. Hivyo basi, jibu ni....

    UMESIMAMA JUU YA MNARA.

    SAMWELI

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 24, 2009

    Hapo itakuwa ni Benjamin Mkapa a.k.a mafuta house au PPF Tower au Exim Towers lile jengo jipya nyuma ya wizara ya mambo ya ndani.

    ReplyDelete
  37. Jengo la COSTECH

    ReplyDelete
  38. AnonymousJuly 24, 2009

    Amesimama juu kabisa ya jengo mojawapo la chuo cha posta pembeni mwa Dar village (under construction)

    ReplyDelete
  39. AnonymousJuly 24, 2009

    Kwa kupenda vya bure angalia mnavyo itikia wito!

    ReplyDelete
  40. AnonymousJuly 24, 2009

    chuo cha posta zamani

    ReplyDelete
  41. AnonymousJuly 24, 2009

    millenium towerzzz tena pale baraza la juu pale pana swimming pool

    kwetu kabisa apo

    sijaelewa au??yani zawadi ni mshindi achague taswira yoyote umuwekee umu bloguni au??sema kabisaaa maana tusije taka kitu ukaanza kigugumizi

    ReplyDelete
  42. Uko kwenye jengo la sayansi na technologia

    ReplyDelete
  43. AnonymousJuly 24, 2009

    Anko, sisi tuliokaa huku ughaibuni kwa muda mrefu tunaomba ufahamisho zaidi ya hiyo Dar village. Maana inaonekana ni ujenzi mkubwa. Tafadhali tunataka kujua ni nini hii.

    ReplyDelete
  44. AnonymousJuly 24, 2009

    mie simo maana yaliyonikuta kwenye mdau wa millioni sita mpaka leo nasimulia..
    nauhakika lazima atakaepata yuko nje kwa sasa haaaaaaaaaaa haaa haaaa ayeeeya
    kaka usibane hii

    ReplyDelete
  45. AnonymousJuly 24, 2009

    Woote mmenoa, Mithupu alikuwa juu ya UNGO!!!!!!!! Mimi ndo mshindi nipe zawadi yangu.

    ReplyDelete
  46. AnonymousJuly 24, 2009

    sayansi na tekenolojia

    ReplyDelete
  47. AnonymousJuly 24, 2009

    Dar village ni Modern Gezaulole (kwani hujui JK anafuata nyayo za JK)?

    ReplyDelete
  48. AnonymousJuly 24, 2009

    hapo ni JENGO LA SAYANSI YAANI COSTECH

    ReplyDelete
  49. AnonymousJuly 24, 2009

    michuzi mbona sijawahi kuona picha y awewe na mama nanihii na watoto wa nanihii???????? mmmh kulikoni?? tumechoka kuliona lisura lako kama pande lauji kila siku, weka picha ya familia yako bwana.

    ReplyDelete
  50. AnonymousJuly 24, 2009

    michuzi uctuzingue na maswala yako apa

    ReplyDelete
  51. AnonymousJuly 24, 2009

    juu ya jeongo la oil com kijitonyama

    sister V

    ReplyDelete
  52. AnonymousJuly 24, 2009

    Mnara wa ZAIN ambao uko ndani ya compound ya kilichokuwa Chuo cha TTCL.

    Its sad how TTCL was dismantled and its assets sold by Simu2000. TTCL was well planned with Warehouse in Kurasini, Plot on Sam Nujoma having workers flats, Workers flats at Ilala and this plot which housed Posta College, Mwenge Satellite Station, Customer Care building(given to ZAIN!) and room for future expansion.

    ZAIN was built out of freebies forced out of TTCL. It pains...

    ReplyDelete
  53. AnonymousJuly 24, 2009

    Mbona jibu rahisi, yeye hakujipiga hiyo picha ya kwake. Hii picha yake ilipigwa na mdau mwingine. hizo picha tatu alisimama kwenye mti fulani mrefu, nadhani mnazi! kwa sababu naona kama zote zilipigwa kama yuko angani vile

    P.E.D

    ReplyDelete
  54. AnonymousJuly 24, 2009

    Ulisimama uliposimama!

    ReplyDelete
  55. AnonymousJuly 25, 2009

    alikuwa anaangalia kupatwa kwa jua

    ReplyDelete
  56. AnonymousJuly 25, 2009

    Mzee wa nanii hizo picha umepiga ukiwa katika jengo la hostel ya chuo cha posta cha zamani amabapo sasa hivi ni sehumu ya chuo kikuu cha mlimani

    ReplyDelete
  57. AnonymousJuly 25, 2009

    Hiyo mbona izii sana UMEPIGA PICHA JUU YA DARAJA LA MANZESE!.

    ReplyDelete
  58. kaka misupu..hapo ulikuwa Uwanja wa chuo cha posta kuna kitu kama mnara flani hivi wa taa bila kukosea ndio itakuwa umepanda hapo

    Mdau
    JoE

    ReplyDelete
  59. AnonymousJuly 25, 2009

    Hii inaonekana umepigia nyuma ya ofisi ya ZAIN
    SO kwa mtizamo wa karibu uko katika jengo lenyewe linalojengwa meaning Dar Village.
    Kwa sababu kwa mbali millenium tower inaonekana na pale ilipokuwa carnival..(also construction going on)
    Barabara iko kati ya Zain na Carnival..so haiwezekan kuwa uko jengo la sayansi
    So definetly upo hapo hapo Dar village kwenye ujenzi

    ReplyDelete
  60. AnonymousJuly 25, 2009

    picha imepigwa kutoka juu ya jengo la JUKWAA LA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU WA CHUO CHA SIMU(TTCL COLLEGE AMBAYO SASA HIVI NI COET)

    MDAU KUDOJA

    ReplyDelete
  61. AnonymousJuly 25, 2009

    Uko juu ya jengo la Leticia towers ambalo halijakamilika!

    ReplyDelete
  62. AnonymousJuly 25, 2009

    Anko nanihii, mi sikujua kama una pua kubwa hivyo! Lo, kaka wewee hebu uangalie picha unazowekaga jamani. Regards!

    ReplyDelete
  63. AnonymousJuly 25, 2009

    Umesimama nyuma ya jengo jipya linajengwa nyuma ya BreakPoint.

    Baba D

    ReplyDelete
  64. AnonymousJuly 25, 2009

    chuo cha posta

    ReplyDelete
  65. Kaka ulisimama majengo yafuatayo, moja milenium tower, pili Jengo la makao makuu ya kampuni ya simu ya nani hii (ZAIN) na tatu jengo la posta

    ReplyDelete
  66. Kaka Mkubwa, kwanza heshima yako ilindwe! Nimefurahi kuona chemsha bongo kama hizi hayo ndo mambo, inaleta ham ya libeneke haswaaaa! Kusema kweli mi sitaki kujibu kwa kuwa mwenye jibu sahihi ameshapatikana ila nampa Big up sana huyo ANONYMOUS Fri Jul 24,03:54:00 PM , nahisi huyo ndie aliyetoa jibu sahihi au hata kama kakosea lakini yupo karibu na ukweli. Sasa naomba nikupe sababu 1.Ulikuwa nyuma kulia mwa jongo la ZAIN, 2.Ubavuni mwa kijukwaa chetu kile ambapo Uwanja wa Tennis upo nyuma kulia mwa Jukwaa, 3.Ulipogeuka nyuma ukaiona DAR VILLAGE, 4.Uliposimama upande wa mbele kushoto uliweza kuyaona vizuri majengo ya Millenium Tower,Akiba House na Jengo la Mzee La-Prima cjui linatwa Letsia Tower sijui, samahani kama nimekosea, Na 5.Kwa mbele yako kwa mbali kidogo uliiona COSTECH BUILDING. KI UKWELI NI KUWA ULIKUWA JUU YA JUKWAA LA ENTERTAINMENT MASTERS, JUKWAA AMBALO ALILITUMIA BEENIE MAN, KWA SABABU KWA UENYEJI WANGU KATIKA VIWANJA HIVYO HAKUNA JENGO WALA MNARA AMBAO UNAWEZA KUKUPA TASWIRA HIZO PANDE ZOTE KI HIVYO, KUNA WAANDISHI KADHAA HAPO WAMEANDIKA KUWA ULIKUWA JUU YA JENGO LA HOSTEL, HIYO C KWELI KWA SABABU USINGEPAIPATA HIYO TASWIRA YA JUKWAA KWA MBELE, USINGEIPATA TASWIRA YA UWANJA WA TENNIS KWA SABABU MITI PALE IMEZUIA SANA. MWISHO WA YOTE ANKO HATA HAYO MATANGAZO YA KILIMANJARO LAGER YANAONYESHA KUWA SIKU HIYO NDO WALITAWALA HAPO. Lakini kama nimekosea poa tu naomba unipe ADHABU ya kukuletea Taswira yoyote ya hapa DAR.

    Mdau
    J.Big

    ReplyDelete
  67. AnonymousJuly 26, 2009

    Anko nanihii ulisimama Ruwi Muscat mita chace toka Burj Dubai

    ReplyDelete
  68. Hapo Anko Nanihii ulikuwa umesimama kwenye jengo tume ya sayansi Tanzania. Kataa!

    ReplyDelete
  69. AnonymousJuly 27, 2009

    Upo kwa roof top ya nyumbani kwako pale nanniih.

    ReplyDelete
  70. AnonymousJuly 27, 2009

    Mkuu wa wilaya ya naniii! ulipata hizi taswira from Leticia tower/house opps oilcom gas station.

    Mdau
    JS,
    Dar

    ReplyDelete
  71. Hapo ni kilichokuwa chuo cha posta!!!

    ReplyDelete
  72. AnonymousJuly 27, 2009

    Uncle ulisimama jengo la millenium Tower kwa nyuma ukiangalia jengo la makao makuu ya zain.

    ReplyDelete
  73. AnonymousJuly 27, 2009

    Hapo ni Jengo Science umesimama juu .... Monica George

    ReplyDelete
  74. AnonymousJuly 27, 2009

    Umesimama katika jengo la Cistech... Rose George

    ReplyDelete
  75. AnonymousJuly 27, 2009

    Waliokimbia umande shule Geography photo tutawajua leo

    ReplyDelete
  76. AnonymousJuly 27, 2009

    Upo Rose garden katika kila kighorofa chao kidogo pale. Monica Rimoy

    ReplyDelete
  77. AnonymousJuly 28, 2009

    Anko hapo uliposimama ni maeneo ya chuo cha Posta.Nakumbuka vizuri sana siku ya Beenie Man kulikuwa na jukwaa la pili mbele ya jukwaa kuu ambalo waandishi wa habari walikuwapo. Kwa hiyo hukua juu ya jengo lolote pale ili kuweza kupata taswira za picha zote hizo ni jukwaa tu siku ile ya shoo ya Beenie Man mchana. Kama uanbisha nitumie email: yaky4u@yahoo.com
    CIAO

    ReplyDelete
  78. Mmmh kwakweli leo nimeangalia kwa makini sana nimegundua anko alikwea mnara maana pale hakuna jengo lililo refu kivile zaidi ya mnara ambao upo karibu na chuo cha posta, tena minara ni miwili hivyo nadhani alipanda kwenye mnara mmojawapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...