
SWALI:
ANKO NANIHII ALISIMAMA JENGO LIPI
WAKATI ANAPIGA TASWIRA HIZI???
ZAWADI: TASWIRA YOYOTE ATAYOOMBA MSHINDI
MWISHO: JUMATATU SAA SABA ALASIRI
MASHARTI: IKITOKEA SARE ZAIDI YA
MOJA TUTAFANYA DROO NA UMAUZI
WA MAJAJI NI WA MWISHO
ANGALIZO: HII SI BAHATI NASIBU NI
CHEMSHA BONGO NA FURAHISHA BARAZA...
WE TAJA TU NI JENGO GANI ALILOSIMAMA
ANKO NANIHII NA SI VINGINEVYO
Swafi kabisa yani Bongo panapendeza siku hizi ukiona katika picha unahisi raha vibaya bin kichizi.
ReplyDeletemillenium towers hotel
ReplyDeleteAkiba commercial bank
ReplyDeleteUncle alisimama Milennium Tower
ReplyDeleteulisimama Millenium tower
ReplyDeletemillennium Tower
ReplyDeletebwana naniiiii alipiga picha hiyo akiwa ktk juu ya majengo ya chuo cha posta ,pale ilipofanyika shoo ya BEENIE MAN.
ReplyDeleteMADAU
awadhi.
a.k.a. snipertz
TICTS
Ulisimama kwenye mnara wa simu ya vodacom
ReplyDeleteAnko nanihii alisimama katika jengo la chuo cha posta kijitonyama
ReplyDeleteBwana Miposi wa Mithupu, mie nimesoma saana mpaka vitabu vikachanika vyenyewe!!!
ReplyDeleteInfwakti nshomire!!
Hapo ulipo aidha uko Mwenge satelite station au kwenye jengo jipya linalojengwa la Dar Village.
La sivyo umepanda kiberenge cha kukupandisha juu!!!
Hata hivyo taswira zako ni poa.
Ha! Anko nanihii ze fulanaz? Du wewe noma, je unapair ngapi za hizo fulanaz ?
ReplyDeletePeacock Millennium Towers Hotel.
ReplyDeleteJK
mkuu wa nanihii hapo ni millenium towers juu pale. challi
ReplyDeleteKaka hapo bila ubishi ulipiga ukiwa millenium tower k'nyama. Ila nashauri kitu kimoja, JK amrudishe Keenja Halmashauri ya jiji, maana pamoja na kwamba maghorfa yanaongezeka kwa kasi ya ajabu,takataka na harufu mbaya ya taka vinaongezeka mtaani kwa kasi ya kutisha. Watu wamekosa ustaarabu kabisa inatia aibu sana.
ReplyDeleteMdau
Cardiff
chuo cha posta
ReplyDeletetvt
ReplyDeletembona rahisi sana alipo pigea hizo picha alikuwa jengo la ttcl seatlite site nyuma tu ya rose garden. ni ban2
ReplyDeleteMichu: Ulisimama pale karibu na kijiwe cha thupu ya thamaki, yaani "Break Point" - hata sielewi kwa nini walipaita break point...au kwa sababu watu wanakunywa hiyo supu (thupu) na wakati huo huo wakinutha harufu ya maji machafu....(Na mimi nimechemsha, si ndio michu??)
ReplyDeleteHAPO NI JENGO LA COSTECH, KAMISHENI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA...
ReplyDeletebwana michu amesimama kwenye rooftop ya jengo mojawapo la kilichokuwa chuo cha posta,hilo jengo lilitumika kama hostel ya wanachuo enzi hizo sijui kwa sasa.
ReplyDeleteMdau alikuwa amesimama kwenye majengo ya Chuo cha Posta. Hassan
ReplyDeletealisimama jengo TCRA
ReplyDeleteUmesimama moja ya majengo chuo cha posta
ReplyDeleteUncle Mithupu alisimama katika jengo liloandikwa Sanyansi na Technolojia, pale ng'ambo ya jengo la makao makuu ya hiyo kampuni ya Zain
ReplyDeleteHostels za Chuo cha Posta (Kijotonyama).
ReplyDeletehapo ni jengo la chuo cha posta
ReplyDeleteUmesimama kwenye mnara wa simu, hamna jengo refu hapo, millenium towers naiona kwa kushoto kule same as laeticia towers
ReplyDeletesayansi
ReplyDeleteMjengo unaopanda katikati ya mto Kijitonyama
ReplyDeleteMzee wa libeneke kama sijakosea hapo ulipopigia hizi picha ni kwenye majengo chuo cha posta ambapo sasa ni majengo ya UDSM kitivo cha engineering
ReplyDeleteUmesimama jengo la maji machafu!
ReplyDeleteMzee wa libeneke kama sijakosea hapo ulipopigia hizi picha ni kwenye majengo chuo cha posta ambapo sasa ni majengo ya UDSM kitivo cha engineering
ReplyDeleteUko kwenye jengo la sayansi na technologia
ReplyDeleteNdugu,
ReplyDeletemithupu, mimi nafikiri ulikuwa kule kariakoo sokoni, tena kule shimoni
ankoo nanihii alikua amesimama juu ya stage iliyotumika kwa shoo ya beenie man
ReplyDeleteAnko swali lako rahisi sana, najua nitakuwa mmoja ya watakuoingia kwenye droo ya washindi.
ReplyDeleteUrahisi wa swali lako unatokana na kutokuwepo kwa majengo marefu sana eneo hilo na pamoja picha yako namba 3 inajidhihirisha kwakuwa kuna kipande cha antenna. Hivyo basi, jibu ni....
UMESIMAMA JUU YA MNARA.
SAMWELI
Hapo itakuwa ni Benjamin Mkapa a.k.a mafuta house au PPF Tower au Exim Towers lile jengo jipya nyuma ya wizara ya mambo ya ndani.
ReplyDeleteJengo la COSTECH
ReplyDeleteAmesimama juu kabisa ya jengo mojawapo la chuo cha posta pembeni mwa Dar village (under construction)
ReplyDeleteKwa kupenda vya bure angalia mnavyo itikia wito!
ReplyDeletechuo cha posta zamani
ReplyDeletemillenium towerzzz tena pale baraza la juu pale pana swimming pool
ReplyDeletekwetu kabisa apo
sijaelewa au??yani zawadi ni mshindi achague taswira yoyote umuwekee umu bloguni au??sema kabisaaa maana tusije taka kitu ukaanza kigugumizi
Uko kwenye jengo la sayansi na technologia
ReplyDeleteAnko, sisi tuliokaa huku ughaibuni kwa muda mrefu tunaomba ufahamisho zaidi ya hiyo Dar village. Maana inaonekana ni ujenzi mkubwa. Tafadhali tunataka kujua ni nini hii.
ReplyDeletemie simo maana yaliyonikuta kwenye mdau wa millioni sita mpaka leo nasimulia..
ReplyDeletenauhakika lazima atakaepata yuko nje kwa sasa haaaaaaaaaaa haaa haaaa ayeeeya
kaka usibane hii
Woote mmenoa, Mithupu alikuwa juu ya UNGO!!!!!!!! Mimi ndo mshindi nipe zawadi yangu.
ReplyDeletesayansi na tekenolojia
ReplyDeleteDar village ni Modern Gezaulole (kwani hujui JK anafuata nyayo za JK)?
ReplyDeletehapo ni JENGO LA SAYANSI YAANI COSTECH
ReplyDeletemichuzi mbona sijawahi kuona picha y awewe na mama nanihii na watoto wa nanihii???????? mmmh kulikoni?? tumechoka kuliona lisura lako kama pande lauji kila siku, weka picha ya familia yako bwana.
ReplyDeletemichuzi uctuzingue na maswala yako apa
ReplyDeletejuu ya jeongo la oil com kijitonyama
ReplyDeletesister V
Mnara wa ZAIN ambao uko ndani ya compound ya kilichokuwa Chuo cha TTCL.
ReplyDeleteIts sad how TTCL was dismantled and its assets sold by Simu2000. TTCL was well planned with Warehouse in Kurasini, Plot on Sam Nujoma having workers flats, Workers flats at Ilala and this plot which housed Posta College, Mwenge Satellite Station, Customer Care building(given to ZAIN!) and room for future expansion.
ZAIN was built out of freebies forced out of TTCL. It pains...
Mbona jibu rahisi, yeye hakujipiga hiyo picha ya kwake. Hii picha yake ilipigwa na mdau mwingine. hizo picha tatu alisimama kwenye mti fulani mrefu, nadhani mnazi! kwa sababu naona kama zote zilipigwa kama yuko angani vile
ReplyDeleteP.E.D
Ulisimama uliposimama!
ReplyDeletealikuwa anaangalia kupatwa kwa jua
ReplyDeleteMzee wa nanii hizo picha umepiga ukiwa katika jengo la hostel ya chuo cha posta cha zamani amabapo sasa hivi ni sehumu ya chuo kikuu cha mlimani
ReplyDeleteHiyo mbona izii sana UMEPIGA PICHA JUU YA DARAJA LA MANZESE!.
ReplyDeletekaka misupu..hapo ulikuwa Uwanja wa chuo cha posta kuna kitu kama mnara flani hivi wa taa bila kukosea ndio itakuwa umepanda hapo
ReplyDeleteMdau
JoE
Hii inaonekana umepigia nyuma ya ofisi ya ZAIN
ReplyDeleteSO kwa mtizamo wa karibu uko katika jengo lenyewe linalojengwa meaning Dar Village.
Kwa sababu kwa mbali millenium tower inaonekana na pale ilipokuwa carnival..(also construction going on)
Barabara iko kati ya Zain na Carnival..so haiwezekan kuwa uko jengo la sayansi
So definetly upo hapo hapo Dar village kwenye ujenzi
picha imepigwa kutoka juu ya jengo la JUKWAA LA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU WA CHUO CHA SIMU(TTCL COLLEGE AMBAYO SASA HIVI NI COET)
ReplyDeleteMDAU KUDOJA
Uko juu ya jengo la Leticia towers ambalo halijakamilika!
ReplyDeleteAnko nanihii, mi sikujua kama una pua kubwa hivyo! Lo, kaka wewee hebu uangalie picha unazowekaga jamani. Regards!
ReplyDeleteUmesimama nyuma ya jengo jipya linajengwa nyuma ya BreakPoint.
ReplyDeleteBaba D
chuo cha posta
ReplyDeleteKaka ulisimama majengo yafuatayo, moja milenium tower, pili Jengo la makao makuu ya kampuni ya simu ya nani hii (ZAIN) na tatu jengo la posta
ReplyDeleteKaka Mkubwa, kwanza heshima yako ilindwe! Nimefurahi kuona chemsha bongo kama hizi hayo ndo mambo, inaleta ham ya libeneke haswaaaa! Kusema kweli mi sitaki kujibu kwa kuwa mwenye jibu sahihi ameshapatikana ila nampa Big up sana huyo ANONYMOUS Fri Jul 24,03:54:00 PM , nahisi huyo ndie aliyetoa jibu sahihi au hata kama kakosea lakini yupo karibu na ukweli. Sasa naomba nikupe sababu 1.Ulikuwa nyuma kulia mwa jongo la ZAIN, 2.Ubavuni mwa kijukwaa chetu kile ambapo Uwanja wa Tennis upo nyuma kulia mwa Jukwaa, 3.Ulipogeuka nyuma ukaiona DAR VILLAGE, 4.Uliposimama upande wa mbele kushoto uliweza kuyaona vizuri majengo ya Millenium Tower,Akiba House na Jengo la Mzee La-Prima cjui linatwa Letsia Tower sijui, samahani kama nimekosea, Na 5.Kwa mbele yako kwa mbali kidogo uliiona COSTECH BUILDING. KI UKWELI NI KUWA ULIKUWA JUU YA JUKWAA LA ENTERTAINMENT MASTERS, JUKWAA AMBALO ALILITUMIA BEENIE MAN, KWA SABABU KWA UENYEJI WANGU KATIKA VIWANJA HIVYO HAKUNA JENGO WALA MNARA AMBAO UNAWEZA KUKUPA TASWIRA HIZO PANDE ZOTE KI HIVYO, KUNA WAANDISHI KADHAA HAPO WAMEANDIKA KUWA ULIKUWA JUU YA JENGO LA HOSTEL, HIYO C KWELI KWA SABABU USINGEPAIPATA HIYO TASWIRA YA JUKWAA KWA MBELE, USINGEIPATA TASWIRA YA UWANJA WA TENNIS KWA SABABU MITI PALE IMEZUIA SANA. MWISHO WA YOTE ANKO HATA HAYO MATANGAZO YA KILIMANJARO LAGER YANAONYESHA KUWA SIKU HIYO NDO WALITAWALA HAPO. Lakini kama nimekosea poa tu naomba unipe ADHABU ya kukuletea Taswira yoyote ya hapa DAR.
ReplyDeleteMdau
J.Big
Anko nanihii ulisimama Ruwi Muscat mita chace toka Burj Dubai
ReplyDeleteHapo Anko Nanihii ulikuwa umesimama kwenye jengo tume ya sayansi Tanzania. Kataa!
ReplyDeleteUpo kwa roof top ya nyumbani kwako pale nanniih.
ReplyDeleteMkuu wa wilaya ya naniii! ulipata hizi taswira from Leticia tower/house opps oilcom gas station.
ReplyDeleteMdau
JS,
Dar
Hapo ni kilichokuwa chuo cha posta!!!
ReplyDeleteUncle ulisimama jengo la millenium Tower kwa nyuma ukiangalia jengo la makao makuu ya zain.
ReplyDeleteHapo ni Jengo Science umesimama juu .... Monica George
ReplyDeleteUmesimama katika jengo la Cistech... Rose George
ReplyDeleteWaliokimbia umande shule Geography photo tutawajua leo
ReplyDeleteUpo Rose garden katika kila kighorofa chao kidogo pale. Monica Rimoy
ReplyDeleteAnko hapo uliposimama ni maeneo ya chuo cha Posta.Nakumbuka vizuri sana siku ya Beenie Man kulikuwa na jukwaa la pili mbele ya jukwaa kuu ambalo waandishi wa habari walikuwapo. Kwa hiyo hukua juu ya jengo lolote pale ili kuweza kupata taswira za picha zote hizo ni jukwaa tu siku ile ya shoo ya Beenie Man mchana. Kama uanbisha nitumie email: yaky4u@yahoo.com
ReplyDeleteCIAO
Mmmh kwakweli leo nimeangalia kwa makini sana nimegundua anko alikwea mnara maana pale hakuna jengo lililo refu kivile zaidi ya mnara ambao upo karibu na chuo cha posta, tena minara ni miwili hivyo nadhani alipanda kwenye mnara mmojawapo.
ReplyDelete