Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aisee hii kali, sina mbavu hapa! hahaha
ReplyDeletehahahahahahahaha nice
ReplyDeletereal nice,inachekesha.
ReplyDeleteKama dawa ni ya kupaka, lakini daktari kakwambia unywe, basi nadhani aliyechanganyikiwa ni daktari!
ReplyDeletehii kali imenikumbasha mbali sana.
ReplyDeleteInachekesha lakini wakati huo huo ujue ya kuwa mambo haya yanatokea
kuna Mwanafunzi mmoja mwaka 1993/94 shule kapuni, alienda hospitali akapewa dawa kama hivi
panadol---- 2x3
asprin------2x3
malariaquine--2x3
nk
basi yeye akafanya 2x3 = 6
2x3 = 6
2x3 =6
alizidiwa ile mbaya. Nilibaki nalia tu.
Kumbe madaktari wanatakiwa kuandika maelezo ya dawa kwa Kiswahili maana Lug'eng'e kwa waliowengi halupandi....teh teheee
ReplyDeleteanonwa july27 saa12:29 umetia chumvi japo ujumbe wako umefika, lakini njia ya mwongo huwa ni fupi,au ndege mjanja hunaswa ktk tundu bovu, niulize kwanini nitakuonyesha ulipo chemsha!
ReplyDeletehehe,hapa aliejichanganya ni daktari ni mgonjwa mwenyewe?dawa ya kupaka yeye kataka kunywa!bora karudi kuuliza angekua si mwenzetu huyu.
ReplyDelete