Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Dogo anapaswa kutafuta angle ya katuni zake. Sometimes anakuwa haeleweki anawakilisha ujumbe gani. Kuchekesha peke yake na vitu ambavyo havipo, havina maana hakutamfikisha mbali kama msanii. I stay corrected!
ReplyDeleteWatu wanapika ma-JUNGU Mpaka mwisho wa siku majungu yanawazidi kimo!!!
ReplyDeleteYani isipokua na mahana kwako ndio unaona ,Majungu maJUNGU na mimi narudia.
ReplyDeleteAnon wa kwanza huhitaji kumwelewa msanii ukishamuelewa basi tena ndio raha ya sanaa imekwisha unachotakiwa ni kutumia akili yako kufikiria otherwise he is very good, hebu tunga za kwako na wewe tuone
ReplyDeletehuyo anon wa kwanza hajui sanaa zilivyo au bac ndo nawe huyo jamaa anayeomba kupigwa jeki??au shule hukupitia??
ReplyDelete