Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    Huyu Dogo anapaswa kutafuta angle ya katuni zake. Sometimes anakuwa haeleweki anawakilisha ujumbe gani. Kuchekesha peke yake na vitu ambavyo havipo, havina maana hakutamfikisha mbali kama msanii. I stay corrected!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    Watu wanapika ma-JUNGU Mpaka mwisho wa siku majungu yanawazidi kimo!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2009

    Yani isipokua na mahana kwako ndio unaona ,Majungu maJUNGU na mimi narudia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    Anon wa kwanza huhitaji kumwelewa msanii ukishamuelewa basi tena ndio raha ya sanaa imekwisha unachotakiwa ni kutumia akili yako kufikiria otherwise he is very good, hebu tunga za kwako na wewe tuone

    ReplyDelete
  5. Baba UbayaJuly 29, 2009

    huyo anon wa kwanza hajui sanaa zilivyo au bac ndo nawe huyo jamaa anayeomba kupigwa jeki??au shule hukupitia??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...