
leo hii ametua ndani ya Norway mjini Oslo kwa ghafla basi nasi moja kwa moja tunampokea kwa furaha Jioni ya leo aliomba awasalimie Watanzania wote waishio Mjini hapa.
Dokta Cheni pia yuko na Movie yake mpya na anapenda kuwaonyesha watanzania wote wa Norway au Oslo jioni ya leo.
pia week hii ni yeye atakuwa V.I.P Guest ndani ya Biblos on Friday 31.Aug Bila kuchelewa wahi mapema ujionee maendeleo ya Watanzania wenye bidii... Mahari ni
Bør & Børsen Thondeim veien 13 OsLO Norway Entry: 50 kr. door open kl.21-03 Karibuni
Music ya Bongo Flavaz Swahili beat & Zuku Rumba
By Dj Uncle Pred A.k.a Abdul.
Kama mahali pameitwa MAHARI basi na karibuni iwe KALIBUNI. Naona mwandishi siyo mBongo
ReplyDeleteGJK
Go Boy Go.........We all love you
ReplyDeleteHivi wabongo mtaacha kukosoana lini ?yani we anonymous wakwanza juu huwezi kuandika makosa hata siku moja?mbona hata mh.michuzi huwa anaandika tofauti na neno sahihi lakini sisi wasomaji lazima tujue tu alichotaka kuongea,labda na yeye utasema sio mbongo!!! Hiki kinasababisha wabongo mnaishia kujitia juu tu.na hamna kitu box tuuu kila kukicha.acheni ubaguzi.
ReplyDelete