Tunayo furaha Kubwa sana kufikiwa na mgeni rasmi, DoctOr Cheni ambaye msaani mkaLi wa kuigiza film za kitanzania ya swahili moveIs

leo hii ametua ndani ya Norway mjini Oslo kwa ghafla basi nasi moja kwa moja tunampokea kwa furaha Jioni ya leo aliomba awasalimie Watanzania wote waishio Mjini hapa.


Dokta Cheni pia yuko na Movie yake mpya na anapenda kuwaonyesha watanzania wote wa Norway au Oslo jioni ya leo.

pia week hii ni yeye atakuwa V.I.P Guest ndani ya Biblos on Friday 31.Aug Bila kuchelewa wahi mapema ujionee maendeleo ya Watanzania wenye bidii... Mahari ni

Bør & Børsen Thondeim veien 13 OsLO Norway Entry: 50 kr. door open kl.21-03 Karibuni

Music ya Bongo Flavaz Swahili beat & Zuku Rumba

By Dj Uncle Pred A.k.a Abdul.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    Kama mahali pameitwa MAHARI basi na karibuni iwe KALIBUNI. Naona mwandishi siyo mBongo
    GJK

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    Go Boy Go.........We all love you

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2009

    Hivi wabongo mtaacha kukosoana lini ?yani we anonymous wakwanza juu huwezi kuandika makosa hata siku moja?mbona hata mh.michuzi huwa anaandika tofauti na neno sahihi lakini sisi wasomaji lazima tujue tu alichotaka kuongea,labda na yeye utasema sio mbongo!!! Hiki kinasababisha wabongo mnaishia kujitia juu tu.na hamna kitu box tuuu kila kukicha.acheni ubaguzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...