hoteli ya holiday inn ilipokuwa mawenzi ya zamani barabara ya samora avenue imeshafunguliwa na tayari kwa libeneke la makulaji na malazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2009

    Tumeiona.. kama kawaida yao, ikikaribia kufikisha miaka mitano. tunasikia imebadilishwa jina na kuwa hotel nyingine wakati ndio hiyo hiyo.. hawa jamaa si ndio wanakwepa kodi kwa njia hii... kweli hii nchi ya wadanganyika.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2009

    kaka michuzi,hebu check vizuri kwenye kumbukumbu zako,hiyo sio samora avenue,usije ukapoteza watu jamani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2009

    ..samora tena? Hio ni Maktaba bana

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2009

    Ahhh me sijaipenda sehemu ilipowekwa. Busy area...Haita vutia sana. Parking finyuuuu. No no no no haivutii kwakweli hata kama huduma zake zitakuwa bomba, jina zuri, lakini haitakuwa na kivutio sana kutokana na location.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...