JK akiongea na wanahabari baada ya kuzindua stesheni ya seacom ya mkongo wa mawasiliano wa chini ya bahari (undersea fibre optic cable) maeneo ya silversands kaskazini ya dar july 23, 2009
Home
Unlabelled
JK atoa darasa la mkongo wa mawasiliano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Big up JK!
ReplyDeleteHaya Bonde La Chamwino Limeitwa "Silicon Valley" ya Tanzania - Jamani Mambo Hayo - tupo? Changamkieni tenda za JK!! Au hizi ni mbio za soda mpya yenye nguvu mpya kwa ajili ya 2010? Tungojee pembezone tuone.
ReplyDeleteMichuzi last time ulisema seacom walipeleka watu wanne kusomea hii tekinologia India, najua kutakuwa na nafasi bwelele kusapoti implementation.
ReplyDeleteTunaomba uwasiliane na seacom wazitundike tuje home kusaidia kujenga taifa.. tumechoka kujenga mataifa ya wazungu ngoja tujenge letu sasa
Serious man, be on a lookout!
This is the Greatest Speech as as far the contents ,materaial and accuracy is concern.
ReplyDeleteThumb UP
JK & Prof Msolla!
One Nation One Leader...that Leader..
J.K.......J.K.!!
oyeeeeeeeeee!
Akina Matonya lazima wahame Chamwino....!
From now Chamwino! Is
Silicon Valley fo Tanzania!
WHERE THERE IS A WILL..........?
Baada ya JK kusema kwamba Chamwino Dodoma itakuwa kama Sicilicon Valley ya Marekani. Kuna habari kuwa akina matonya wanaende ofisi ya mkuu wa mkoa kuulizia fidia zao watapatia vipi?
ReplyDeleteWatu wana wasiwasi na mashamba yao bwana, wameanza kuulizia fidia.
Mkuu anaongea kutoka kumtima kabisa, BIG UP JK! Hofu yangu ni pale huyo Operation inapoendelea Daktari wa Muhimbili anaposimamia Operation Bungando umeme Uka...
ReplyDeleteDu, kweli haya ni maendeleo maana kama ni bomba limefika kijiji ni kazi sasa kwa kila mwanakijiji kuvuta nyumbani kwake maji.
ReplyDeleteIla we subiri tu hizo nyaya za mkongo watu wabongo wanazifanyia research zinafaa kwa nini?. Wakishapata jibu sasa ndipo hapo tutakapoona kuwa mikongo yetu itakapoanza kuchimbuliwa na wajuzi.
Ila mawazo ya JK ni mazuri sana kama yatakuwa implemented, maana naina anazungumzia suala la mwalimu wa physics mmoja kufundisha nchi nzima kwa mkongo, Ila je umeme utafika huko vijijini lini?, wakati mijini tu hautoshi, rais aache wasaidizi wasanii sasa achukue vijana wenye exposure bila kujali itikadi zao ili kutekeleza azma yake nzuri. naona hapo JK anafuraha si kawaida ila soon mkongo utasahaulika maana utakosa watumiaji kwa kuwa na watendaji wsiojali maendeleo ya nchi bali binafsi.
A landmark of achievement that Mr. President will always be remembered. Our country has come a long way in communication, and satelite technology seemed to be the destiny, but realistically this one will definitely take us to the next level. Good job JK.
ReplyDeleteMatunda ya safari za JK Marekani yaanza kuonekana!
ReplyDeleteWhoah, Tz sasa tupo juu na Chamwino valley yaja!! Eh bana eh, safi saana. I like it, jama tusome jama. Mheshimiwa amesisitiza, opportunity si ndio hizo.
ReplyDeleteMimi ninaishi hapa Marekani ni shuhuda wa faida za matumizi ya mtandao. Mkongo huo kama alivyosema JK utarahisisha sana kuipeleka Tanzania kwenye next level. Matumizi ya internet yanapunguza gharama na usumbufu pia yanaongeza tija,
ReplyDeleteKwa mfano, mwalimu wetu yuko Conn. Ohio, wanafaunzi wenzangu wametapakaa US nzima na tuna wasiliana kana kwamba tunafahamiana kwa sura. Kazi yangu ni kuwahudunia wateja, lakini sina sikutani ana kwa ana na mteja yeyote yule biashara zinaishia kwenye internet na simu tu.
Sura za watu wananihudumia katika benki yangu siwajui, mambo yangu yote ya kuweka na kutoa pesa kwenye akaunti yanafanyika mtandaoni.
Ukiondoa baadhi ya manunuzi manunuzi ya vyakula, lakini manunuzi mengine ninayafanya mtandaoni na kuletewa mali zangu mlangoni. Nikitaka pizza ninanunua kwenye simu au mtandaoni.
Hii inasaidia kutumia muda wangu vizuri badala ya kwenda huku na kule.
Serikali haina budi kuongeza kasi ya kuimarisha huduma zake kupitia mtandaoni kwani itasaidia kupunguza zile ahadi za nenda rudi kesho.
NATUMAINI MHESHIMIWA RAISI HATASAHAU KUINVEST KWENYE CYBERCRIME PREVENTION. WAJANJA WATAANZA KUCHANGAMKIA DEAL.
ReplyDeleteje huyu ndo raisi wa tz?..kweli tumekweisha
ReplyDeleteMdau Sat Jul 25, 06:28:00 AM, yani hapo nakubaliana na wee lazima serikali ifungue macho na itazame swala la Cyber Crimes, maana itakuwa balaa huko nyumbani. Shemeji zetu watatupeleka puta sana, mi nipo hapa India na ninasoma IT Security & Ethical Hacking, hawa jamaa wadosi wameweka sheria kali sana yn wapo strict ile mbaya. Mi kuingia chuo kwanza i had to sign the agreement if i'll break the cyber-laws bs nitahukumiwa kama sheria zao zinavyosema. Nitakupa mfano km miezi miwili kuna jamaa alikamatwa alikuwa anatuma e-mail kwa watu ili kupata bank accounts. Kilochotokea kwamba jamaa alikuwa anatuma "Phishing page" ambayo km imetoka bank inamwambia mteja kwamba password yake ina expire soon so he/she to change the password. ambapo pia bank kila baada ya muda fulani hivi huwa wanatuma same email ya kubadilisha password yako ya online banking. Bs jamaa wakamnyaka na yupo jela kifungo cha maisha ... Je Tanzania tupo tayari kwa mambo km hayo? Tunazo sheria za kumfunga mtu kwa kosa km hilo? Inabidi kuwa makini sana, hata email address hizi lazim kuwa makini sana unaweza kukuta unaingia matatizoni bila kujua. Mtu anafanay sniffing anapata password ya email yako bs anatumia kufanaya shughuli zake n end of the day trace ikifanyika wee ndio unashikwa mweye address ...
ReplyDeleteTENA TANZANIA INA BAHATI KUWA NA RAIS KIJANA(JK)AMBAE KWANZA ANA WISDOM,HALAFU ANA ELEWA MISINGI YA MODERN DEVELOPMENTS.TANZANIA NEEDS JK FOR THE NEXT 20 YEARS.I HOPE WE CAN BREED MORE QUALITY PEOPLE LIKE JK.GOD BLESS TZ GOD BLESS JK!
ReplyDeleteHotuba nzuri sana hii. natumai kila kitu kitaenda vizuri katika kusambaza kila pembe ya nchi.
ReplyDeleteTatizo kama mdau (Sat Jul 25, 06:28:00 AM)alivyosema hapo juu kuwa inabidi serikali ipige kwato ili kupambana na cybercrime. Kwani kama fibre optics speed yake kali ooohoooo, watu wabaya wataanza kupigia dili.
P.E.D
Duh kumbe CCM wakiamua wanadeliver...
ReplyDeleteKwa hili nitakuja kwenye mkutano mkuu wa Reading Jumapili.
Nimefurahishwa sana na maneno haya ya raisi wetu, changamoto tunayoipata ni "Think Big". Kadhalika, ningemshauri raisi ajenge majela mapya na kuweka sheria kali sana ili kukabiliana na uhalifu wa aina yeyote utakaojitokeza.
ReplyDeleteMdau Boston
hahahaha...anon wa Sat Jul 25, 12:08:00 AM umenivunja mbavu, lakini ulichosema ni kweli. Tunatakiwa tupige hatua kwenda mbele kote kote, sio eneo moja tu
ReplyDeletemtoto
Jakaya Kikwete ananikumbusha waziri mkuu wa pakistani aliporudi kutembea kutoka Uingereza akaulizwa what have you observed in the UK that we pakistans can adopt? akajibu in UK even a five year old speak good english.Our children need to study hard so they can be like them!!!
ReplyDeletehapo ni kweli hiyo ni hatua ya maendeleo katika mawasiliano
ReplyDeleteThank you Mr. President. Am not sure if you really mean what you've just said about Chamwino Valley? You try to compare your country to The USA, which is more far ahead of you, thus not bad, good vision. here is the point, "Africa/Tanzania doesn't need strong men, It needs strong organization" US President Barack Obama, 2009, Ghana.
ReplyDeleteMr. President your fellow cabinet is full of corruption. Tanzania need change, kick hell out of those who make bad image of your leadership, then try to compare yourself to the USA. Is this trick for 2010?