JK akiambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakikagua baadhi ya Makaburi ya Mashujaa wa vita vya Kagera huko Kaboya, wilayani Muleba Mkoani Kagera Jumamosi hii. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Kwa picha zingine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2009

    Hapo Kaboya usipaone ivo panang'aa ni kwasababu Mh Bro. alikuwepo nenda baada ya miezi kadhaa ukacheke kisha usikitike!
    Napafahamu sana hapo ni 32KM unafika Ujombani kwetu na Kwetu kabisa ni 20KM tu!
    By Mdau Mbeki 4rm St Joseph CoET(Brigita Campus)-DSM

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2009

    Hapa natoa pongezi kwa serikali yetu kwa kuwathamini mashujaa wetu na kuwatengenezea makaburi safi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...