kiota kipya cha minuso jijini dar cha mlimani city conference centre kwa nje
lango kuu
ndani sio kubaya...
hata anko nanihii akialikwa hapo inabidi asahau ze fulanazzz kwa jamu na aazime
pamba aulambe ili afananefanane na kiota hiki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. sawa kaka!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2009

    Dar Tambarare wadau, pesa yako tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2009

    ahsante anko nanihii, huwa tunapaona tu kwa nje. ni pa kali sana. bei zake zinarange kwenye ngapi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2009

    Michu,

    Haupendezi bila zefulanas yako. Angalau uvalie zefulanas kwa ndani kwa vesti vile...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 27, 2009

    Kaka Michuzi
    Naona upo na mdau Kim and the Boy's mpe hi....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2009

    Je hichi kiota ndio ile ilikuwa UDASA? Wandugu tuambie ile baa ilikuwa pale junction ya barabara inayokwenda ardhi na samu numoja *(ddc mlimani park??) bado ipo..au imeshakuwa kiota kingine. Mimi sipendi pahala pengine ni pale tu kwani tulikuwa tunanunua bia tunaweka chini ya kiti kwani kipindi kile bila kumfahamu baa medi, hupati bia, utaambiwa zimeisha....(Tumetoka mbali...)

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2009

    tuambiane bei,maana inabidi nije huko nitafte mchumba kisha sherehe ya ndoa ifanyikie hapo,nadhani si pabaya!ndoa itakuwa imekwenda shule pia!heh!heh!heh

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2009

    sasa mheshimiwa mkuu wa wilaya,
    hebu iangalie kwa makiiiini image yako hii, unamwona huyo mdau upande wa kulia? si unamwona alivopendeza sababu "katimia"?
    mbona wewe mwenzetu hupendi "kutimia" hata katika minuso kama hii?
    mara moja moja nawe uwe ukitimia bwana, tunapenda kukuona ukiweka ngosho na mai waif wako katika minuso!
    ndio heshma yetu watu wazima, na pia ni NGAO MUHIMU katika ulimwengu huu uliojaa vishawishi na waviziaji (waoteaji).
    sijui mkuu wa wilaya unalionaje hili
    Ahsante sana
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 27, 2009

    Kidogo nikupotee, bila fulanaz unaweza kudunda mitaani watu wasikutambue kabisa,

    Sasa mbona unakunywa soda- fanta,mjanja wewe unaogo kunywa hata bia? Hii sehemu itakuwa bei sana, na kama umezoea kusema lete kama tulivyo basi inabidi uende taratibu.

    nasikia kunabaa imeanzishwa inaitwa Helupu Yuwaselufu. ipo karibu na hiyo au?


    ni hayo tu

    P.E.D

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 28, 2009

    Nasikia gharama ya kukodisha hicho kiota ni US $ 7,000!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 28, 2009

    ....hapana Mkuu!! hiyo kitu ni tofauti na UDASA,hii imejegwa pale ilipokuwa ile filling station/garage zamani,kama unatokea mwenge kwenye kona ya kuelekea 'savei' au chuo cha arthi.
    pametulia sana mkuu halafu parking space ya kutosha tu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 28, 2009

    Huyo mdau wa kulia labda ni waiter wa mkurugenzi wa wilaya ya nanihii.....l=Lakini napenda michu anavyovaa kwa sababu hali ya hewa inaruhusu. Ana philosophia yake ya kuvaa sasa pilipili usiyokula inakuwashia nini!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 28, 2009

    Ukumbi ni mzuri kwa nje tu,ila ndani si sana kwa shughuli za kama harusi na mengine(i was there once..huo unaitwa MLIMANI CITY CONFERENCE CENTER),ukianzia arrangement ya viti na meza plus sound haitoki fresh(najua wanaojua mambo ya kumbi na sound Engineer wanajua hilo),maana unaweza jikuta shughuli inabore na sauti inasikika mbele tu na huku nyuma watu wanaendelea na stories tu na maana halisi ya sherehe inaondoka kama ilivyonitokea kwenye harusi mmoja ndani ya ukumbi huo..

    Mi nadhani ni wakati wa watanzania kutofautisha kumbi kwa ajili ya conference na shughuli za kiharusi kama picha zilivyorushwa na mkuu wa wilaya ya nanii,,maana unaweza kuingia cost kubwa sana kwa sehemu ambayo si kusudio lake kabisaaaa(ni kama kupeleka harusi kwenye ukumbi wa cinema,wapi na wapi..?ni mfano tu kwa misunderstand ya conference center na wedding reception zilizopo).

    Mdau(The Dreamer)

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 28, 2009

    hiyo bei ya kukodi tu imeniacha hoi! dola elfu saba! yaani nitanunua kiwanja na kujanga ntumba kijijini kibosho kwa hiyo garama! ebo! mzizima hall ni mzuri sana. kina mramba na Lipumba watoto wao wakiowa wataaford hapo!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 28, 2009

    hio dola elfu saba ndo kukodi kwa mwezi mzima au mwaka?

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 29, 2009

    Hi Michuzi, mimi naomba kuuliza hivi huyu Sir Kim ni nani, maana namuona kila mara na hata kwenye blog nyingine, natumai ni role model fulani hivi, sasa si vibaya wadau tukamfahamu

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 30, 2009

    $ 7,000 kwa siku ya ya tukio tu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...