" I mark road lines, I don't move trees"
We have to stand our ground and just say no!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Grace SokoJuly 06, 2009

    Swali: hivi hii barabara iko Tanzania, na ni kutoka mkoa gani?
    Kama ni Tanzania, then, nitakuwa na mlolongo wa maswali ambayo nitaomba wasomaji wanisaidie kupata majibu

    ReplyDelete
  2. hahha dah hii kali jamani hivi kweli haya mambo yapo ???? hahha

    ReplyDelete
  3. Hama kweli duniani kunavichekesho... Kudadadadeki! Hii akili au matope? Huenda ikawa mambo ya photoshop haya maana binadamu wakawaida hawezi fanya kitu kama hicho!

    Samweli

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2009

    kamongo
    Nikisema hatuwezi jitawala mpaka kwa bakora za wazungu ndio haya. Yaani kuondoa mti imekua ishu. LO noma

    ReplyDelete
  5. Akiondoa huo mti angekuwa na kila sababu ya kwenda kudai nyongeza ya mshahara.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2009

    Grace Soko, barabara hii haiko Tanzania kwa sababu nchini tanzania mistari myeupe ndio inatenganisha njia zinazopishana, na mistari ya njano ndio inaonyesha mipaka ya pembeni mwa njia. Hii ni tofauti na nchi kama US au Uganda (sijui Kenya)ambapo mistari ya njano ndio inatenganisha njia (lanes) zinazopishana. Kama unafuata rangi za mistari ya barabarani ki-roboti, ukivuka mpaka wa uganda na tanzania unajikuta umechanganyikiwa. ukiwa ulijifunzia kuendesha nchini marekani hupati shida kwa sababu mstari ya njano bado utakuwa kushoto kwako. Kwa bahati nzuri hii mistari kwetu haina maana kubwa kwa madereva. Kama unavyojua tunaweza ( na zipo barabara nyingi zisizokuwa na mistari) kuendesha bila mistari. tunatumia BONGO zetu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2009

    Na kweli akili mali!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2009

    duh! huyu painter ni mvivu afadhali ya mbwa mweusi....nadhani sio bongo hiyo. kudadadek analipwa nusu mshahara nini au mti una miba?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    kuna nyaya za umeme mkoani iringa zimeshindwa pita juu ya makaburi fulani...so mie sishangai

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 07, 2009

    Jamani hizo kazi hazina supervisors au inspectors uko site??? I can't believe that but its true; sio photo shop hiyo.

    Engineer,
    Toronto.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2009

    CENSOR haiondoi "MTI/KITU"ila ina "KWEPA/KWEPESHA"

    ReplyDelete
  12. JOB descrption i would have done the same halipwi kusogeza miti huyo alaaa

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 08, 2009

    JUST A LITTLE HUMOR WADAU.MSISWEAT SANA SI YA KWELI HAYO

    ReplyDelete
  14. Hahaha hii kali..job description 4 real..duh! hehehe..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...