Home
Unlabelled
job description
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Swali: hivi hii barabara iko Tanzania, na ni kutoka mkoa gani?
ReplyDeleteKama ni Tanzania, then, nitakuwa na mlolongo wa maswali ambayo nitaomba wasomaji wanisaidie kupata majibu
hahha dah hii kali jamani hivi kweli haya mambo yapo ???? hahha
ReplyDeleteHama kweli duniani kunavichekesho... Kudadadadeki! Hii akili au matope? Huenda ikawa mambo ya photoshop haya maana binadamu wakawaida hawezi fanya kitu kama hicho!
ReplyDeleteSamweli
kamongo
ReplyDeleteNikisema hatuwezi jitawala mpaka kwa bakora za wazungu ndio haya. Yaani kuondoa mti imekua ishu. LO noma
Akiondoa huo mti angekuwa na kila sababu ya kwenda kudai nyongeza ya mshahara.
ReplyDeleteGrace Soko, barabara hii haiko Tanzania kwa sababu nchini tanzania mistari myeupe ndio inatenganisha njia zinazopishana, na mistari ya njano ndio inaonyesha mipaka ya pembeni mwa njia. Hii ni tofauti na nchi kama US au Uganda (sijui Kenya)ambapo mistari ya njano ndio inatenganisha njia (lanes) zinazopishana. Kama unafuata rangi za mistari ya barabarani ki-roboti, ukivuka mpaka wa uganda na tanzania unajikuta umechanganyikiwa. ukiwa ulijifunzia kuendesha nchini marekani hupati shida kwa sababu mstari ya njano bado utakuwa kushoto kwako. Kwa bahati nzuri hii mistari kwetu haina maana kubwa kwa madereva. Kama unavyojua tunaweza ( na zipo barabara nyingi zisizokuwa na mistari) kuendesha bila mistari. tunatumia BONGO zetu.
ReplyDeleteNa kweli akili mali!!!
ReplyDeleteduh! huyu painter ni mvivu afadhali ya mbwa mweusi....nadhani sio bongo hiyo. kudadadek analipwa nusu mshahara nini au mti una miba?
ReplyDeletekuna nyaya za umeme mkoani iringa zimeshindwa pita juu ya makaburi fulani...so mie sishangai
ReplyDeleteJamani hizo kazi hazina supervisors au inspectors uko site??? I can't believe that but its true; sio photo shop hiyo.
ReplyDeleteEngineer,
Toronto.
CENSOR haiondoi "MTI/KITU"ila ina "KWEPA/KWEPESHA"
ReplyDeleteJOB descrption i would have done the same halipwi kusogeza miti huyo alaaa
ReplyDeleteJUST A LITTLE HUMOR WADAU.MSISWEAT SANA SI YA KWELI HAYO
ReplyDeleteHahaha hii kali..job description 4 real..duh! hehehe..
ReplyDelete