Quote of the century...
We all love to spend lots of money on buying new clothes,
but never realise that
THE BEST TIMES ARE ENJOYED WITHOUT CLOTHES"
( Professor H.Nyazaya, University of Lagos)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmmmmmhhhhhh ze job iz zea ......... Job truu truuuuuu
ReplyDeleteTrue da! Prof. kasema.. tehtehteh!
ReplyDeleteMMMMMH IGWEEEEEE,Balozzzi hiyo VERE Applicable here in Bongo.
ReplyDeleteigweeeeeeeeeee, in'yeeeeeee!
ReplyDeleteha! ha! haaaaaaaa1 haaaaaaaaaa! hapo misupu umewafikisha wabongo, cheki maoni sasa yatakavyotililika! ha! ha! ha! haaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeletechief oderee
japan
HIYO SI SIKWELI MUDA WOTE. WENGINE WANA ENJOY KUWASAIDIA WENGINE, KUSHINDA GAME, KUFAULU MITIHANI N.K. WENGINE HAWANUNUI HATA HIZO NGUO LAKINI BADO WANA NYAKATI NYINGI TU ZA KUJISTAREHESHA. PROF ALIFIKIRIA ZAIDI KTK MANTIKI ZA KIZINZI.
ReplyDeletemaoni yangu tu.
Duh Prof kadata!
ReplyDeleteWakati wa bad times inakuwaje sasa without those clothers?!
huyu profesa muhuni, je ameandika makala ngapi kuhusu suala hili au naye katoa mtazamo wake kama binadamu?
ReplyDeleteMind you the clothes we buy are the once that will in the end lead to what you call having good time without them because they make us look good to attract the opposie
ReplyDeleteNaomba niaishe nyakati za raha bomba ninazo zifahamu mie
ReplyDeleteWakati wa kuoga,wakati wa kwenda maliwatoni, wakati wa hamanika na mapenzi na kwa wengine wakati wa kulala hapo unapata raha kamili hata uwe na shida vipi nyakati hizo hunabudi kuwa kama ulivyozaliwa mnabisha??
And as if that was not enough "The best times in hell are enjoyed without clothes" is also equally true, right? ha ha ha. du...hii kali...
ReplyDeleteNa huyu mjamaa yeye anajua GOOD TIMES ziko sehemu hiyo hiyo tu? Ndio maana hatuendelei hata siku moja. Unaweza kuwa na good times hata ukiwa kwenye garden, spot stadium, au kwenye mtindi (beer au kitochi). Simwelewi huyu bwana kakazania sehemu moja tu. Si kweli, na hiyo quote uongo ibilisi
ReplyDeleteNaomba kutoa hoja. duh.
Da professor!!!!!
ReplyDeleteain't see nobody at Break Point naked
ReplyDelete