katika muendelezo wa kuonesha vipaji bwelele bongo, leo tunaye msanii hodari k-sher ambaye ni mmoja wa walio juu katika safu ya wasanii wa kike nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2009

    Nice song gaL, I love you so much jamani K sher.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2009

    Very very nice! I really like it! All the best K-Sher!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2009

    umejaaliwa sauti dada hongera sana,good lucky in your tallent keep it up.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2009

    Yaani huu wimbo naopenda sana utafikiri naimbiwa mimi jamani! Asante K-sher!

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuzi huyu Dada uimbaji wake umetulia lakini ni shida kutafuta nyimbo zake kwani jina lake linafanana sana na majina ya waimbaji wa mamtoni hatujui ni Keisha, K-sher, Keysha, Keysher yaani jina linachanganya kaka.

    Natafuta wimbo alioimba na Fresh Jumbe, mchanganyiko wa sauti ya mkongwe na kizazi kipya imetulia sana. Keep Up da'K-sher

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2009

    K-Sher good job! nyimbo yako ni nzuri sana. Talent unayo! Keep it up.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2009

    I really liked this song when i was in bongo last dec.Thanks michuzi for the video coz i was lookin for this video kwa muda mrefu sana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2009

    Hongera sana mdogowangu,imetulia sana hii.Hongera sana K.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2009

    huyu mtu ni alibino? ah,,,nimedata jamaniiii

    ReplyDelete
  10. kwa mara ya kwanza na-comment kwenye michuzi,yaani nakumbuka kishenzi nilipokua na-comment kwenye utamu..duu!! RIP utamu tutakukumbuka sana.
    keisha big up wimbo umesimama shooting kali collable imesimama,yaani nashangaa kwa nini ulikua uonekani kwenye video wakati unabamba kiasi icho,umependeza sana...huyo dogo sqeezer yupo juu sana nimemkubali alivyocheza na script za video hadi mashairi bomba.
    Hongereni vijana wetu

    ReplyDelete
  11. kaka huyu dadi shupavu sana ,J usalama wake ukoje kaka michuzi ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...